wewe @katikati ya mapaja, hawa wanachezea hilo disco kwa mbowe?
Katiba imeshajadiliwa kwenye mabaraza. Maoni yote yameshapelekwa kwa tume.
Huo ndio utaratibu tuliokubaliana kistaarabu. Haya mengine ni siasa tu, zenye lengo la kuifanya Katiba iwe ya vyama vya siasa.
Katiba ni ya wananchi wote, sio ya Lipumba, Mbowe na Mbatia wanaoshinikiza mchakato uwe mali ya vyama vyao.
asikuumize kichwa watoto wa kujamba ndo wako hivyo.utasemaje wanaume watu wazima wanaoana kama sio uharamu wa akili.Kama huna mchango wowote wa maana kwa mustakabali wa nchi yetu,kaa kimya ufiche ujinga wako.
Vijana wa lumumba haya hapa chini ndiio mnayoyaweza.. mambo ya katiba waachieni watu wenye akili zao.
View attachment 112897View attachment 112898View attachment 112899View attachment 112900
Katiba imeshajadiliwa kwenye mabaraza. Maoni yote yameshapelekwa kwa tume.
Huo ndio utaratibu tuliokubaliana kistaarabu. Haya mengine ni siasa tu, zenye lengo la kuifanya Katiba iwe ya vyama vya siasa.
Katiba ni ya wananchi wote, sio ya Lipumba, Mbowe na Mbatia wanaoshinikiza mchakato uwe mali ya vyama vyao.
Halafu eti tutegemee kupata mawazo bora kutoka kwa hawa wanenguaji....!
Demokrasia imeheshimiwa. Katika mfumo wa dekokrasia watu wachache hawawezi kulazimisha matakwa yao dhidi ya watu wengi.