Wa elfu mbili mpoo? Tusikae kinyonge, pita hapa!

Wa elfu mbili mpoo? Tusikae kinyonge, pita hapa!

Kuna msenge mmoja alikuwa mkurya, akisoma hapa atajua tuu, alini bully sana msenge yule... Aliyafanya maisha ya shule yawe hectic.

Hivi kuna watu mmesha pitia bullying humu?
[U][I][B][FONT=tahoma]wakati tunasoma sekondari ya chini tulikuta ule mfumo wa kupiga wanafunzi wa kidato cha kwanza. [/FONT][/B][/I][/U]ulikuwa mfumo katili ila naonaulikuwa mfumo unamfanya mtu ajue kupambana na kujitegemea, tofauti na midogo ya siku hizi inayoomba kuletewa pringles na wazazi wao.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom