[emoji23][emoji23][emoji23]Yap hiyo ndiyo Dasilama, ukiingia na uanaume lazima uuache na uwe wa dar halisi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahaha! mimba mchomoko na tabasamu mwanana wa hali ya juu na kizalendo zaidi.huyo mbaba wa yanga anaonekana hadi mimba kabeba yeye
[emoji23][emoji23][emoji23]Kyekyekye kweli wanaume wa dar ni romantic sana wamikoni tuna roho ngumu kama sura zetu
Sent using Jamii Forums mobile app
This is what we call it love
wenzio wanaanzaga hivyo hivyo kwa hiyari mwisho inakuwa ni lazima.Mijitu ya mikoani mishamba sana ss hpo cha ajabu nn kumsaidia kazi mke wako kwa hiari kuna tatzo? labda kwa wale wanaofanyishwa kwa nguvu na kuwaogopa wake zao ila hao pichani inaonekana kabisa wanafanya kimahaba!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu,yanga ndo tabia zao hizohuyo mbaba wa yanga anaonekana hadi mimba kabeba yeye
Ila tu mumejaliwa kuwa na makalio makuuuuubwa kuzidi hata Dada zenu.Kyekyekye kweli wanaume wa dar ni romantic sana wamikoni tuna roho ngumu kama sura zetu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila tu mumejaliwa kuwa na makalio makuuuuubwa kuzidi hata Dada zenu.
Sent using Jamii Forums mobile app