Wa Dalesalama msijidanganye...

Mr. MTUI

JF-Expert Member
Feb 18, 2013
8,130
8,351
Wa daslamu mnajidanganya...Msifikiri kwamba nyie mnamaisha mazuri kuliko watu wengine wa pembezoni.. Nyie mnajifariji na stalehe.. Pasipo kujua kwamba mikoani kuna stalehe zaidi ata ya hizo za Dalesalama..

Huku mikoani watu wanapiga kazi.. Wanalamba ngawira.. Wanawekeza then kinachobaki kidogo wanafanyia starehe tena kwa umakini..

Nyie pesa zenu zote mnafanyia stalehe na kuhonga mademu wengine wanawekeza kwenye vipodozi na saluni na nguo. Punguzeni hayo mambo...
 
Daslamu = Dar es salaam
Stalehe = Starehe
Ata = Hata

Kuhusu hoja yako, matumizi ya mtu hayajalishi ni wapi alipo. Hata huko unakosema ni mkoani kuna wahongaji na watumiaji kupita maelezo. Matumizi ya mtu ni tabia na maamuzi ya mtu binafsi.
 
Jiji wanaume utafikiri wanawake wanavyotengeneza sura zao! nywele za miguuni eti wananyoa! wengine eti maji ya kunywa yanawafanya wawe weupe na weupe wenyewe ni baadhi ya maeneo mh!! acha nikae zangu Tarime tu bwanaaaa!!
 
Ha haaa.. Wanatamani kuwa soft kama wake zao..
 
Wa daslamu mnajidanganya...Msifikiri kwamba nyie mnamaisha mazuri kuliko watu wengine wa pembezoni.. Nyie mnajifariji na stalehe.. Pasipo kujua kwamba mikoani kuna stalehe zaidi ata ya hizo za Dalesalama..

Huku mikoani watu wanapiga kazi.. Wanalamba ngawira.. Wanawekeza then kinachobaki kidogo wanafanyia starehe tena kwa umakini..

Nyie pesa zenu zote mnafanyia stalehe na kuhonga mademu wengine wanawekeza kwenye vipodozi na saluni na nguo. Punguzeni hayo mambo...
Dsm tunaishi kwa hesabu sana kila kitu kinahitaji pesa kasoro pumzi tu
 
Acha uropoke mkulima, ni halali yako. Msimu wa kuuza mavuno umeshawadia.
Mkuu sometime hawa wanuka midomo tuwe tunawachunia wakianzisha mada zao za kijingajinga,wanaisema dar wakati wakipata nauli akili zao zote waje town washangae
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom