Poleni,
kule kwetu ukiolewa ukakutwa bikra unarudishwa kwenu, tena unapandishwa Punda kila mtu anajua yalokusibu!
Coz huna experience ya kutoa huduma
Hiyo shabu naifahamu ni jiwe fulani lililosagwa na hutumika sana maeneo ya pwani kusafisha maji ya visima. ukiweka kwenye maji machafu yanatuwama vizuri sana. pia hutumika kutoa weusi kwenye kwapa. It has a verry irritating chemical ukiweka kwenye ngozi. now u can immagine ikiingia ukeni inakuwaje. Wanawake tunahangaika sana na hii miili bila kujua madhara ya baadaye ya vitu tunavyotumia. Ni kweli unapoweka hii kitu inakuwa kama inayeyusha utelezi ulio katika kuta za uzazi thats why mwanamke anakuwa anavuja sana. Baada ya hapo ni kuharibikiwa tu na viungo vyako vya uzazi alivyokupa Mungu.Hii kitu sasa hivi imeshika kasi sana.
Wadada wengi sasa hivi wanachangamkia dawa wao wanaita ni ya kurudisha heshima.
Ni dawa za kurudisha uke na kuufanya uwe mdogo mtindo wa bikra.
Zamani tulizoea kusikia dada anakamulia ndimu au limao lakini siku hizi tofauti kabisa.
Jana nilikuwa nimepozi na jamaa angu najua anafanya biashara ya vipodozi nilikuwa sijui kama anauza na dawa za kurudisha heshima, alikuwa anaongea na dada mmoja kuhusu dawa za kurudisha heshima mm nilikuwa sijawaelewa baadae nikapewa shule na jamaa akanambia sasa hivi anapiga sana dili hizo dawa zipo katika mfumo wa sabuni wao wanaita shabu dada akisafishia uke basi unarudi katika hali ya ubikra akikutana na mwanaume huyo mwanaume anakuta mnato na jamaa anaweza fika bei kabisa ya kuweka ndani awe anapika na kupakua.
Mama D bwana,yani umenichekesha sana!Poleni,
kule kwetu ukiolewa ukakutwa bikra unarudishwa kwenu, tena unapandishwa Punda kila mtu anajua yalokusibu!
Coz huna experience ya kutoa huduma
Mpwa umekuwa mtaalam wa Jadi toka Naijeria?
Poleni,
kule kwetu ukiolewa ukakutwa bikra unarudishwa kwenu, tena unapandishwa Punda kila mtu anajua yalokusibu!
Coz huna experience ya kutoa huduma