wa arusha mpo? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

wa arusha mpo?

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Don Mangi, Sep 13, 2012.

 1. Don Mangi

  Don Mangi JF-Expert Member

  #1
  Sep 13, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,206
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145
  Nimekanyaga hii ardhi hapa nategemea makamanda wangu mnao ishi huku mnipokee, kikao kitakua pale kwa mromboo. . .msiwe kama wa moshi walivyonichomesha mahindi nikapata hasira nikawachomea ndafu ya ng'ombe wanaila muda si mrefu hapo uwanja wa mashujaa.
   
Loading...