mansakankanmusa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2010
- 4,161
- 802
Mna uhakika hawo ndio wale vyura waliochukuliwa kutoka kwetu??
wasije wakawa wametilurejeshea makanyaboya!!!
Nadhani tusikilize milio yao.
vyura wa marekani lazima watalia kimarekani yo yo yo yo
wasije wakawa wametilurejeshea makanyaboya!!!
Nadhani tusikilize milio yao.
vyura wa marekani lazima watalia kimarekani yo yo yo yo