Vyuoni wanatoa Open days na tester days?

Rebeca 83

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2016
Posts
15,669
Reaction score
33,692
Hello

Nilikua nauliza kama vyuo wanatoa Open days na tester days,lengo ni kumpa mwanafunzi uelewa wa course anayoitaka kufanya na wapi..??

Sio watu wanachagua somo, mwisho wanakuta sio passion yao...

Pia masomo ya chini A level na O level yawe mengi,kumpa mtoto choice of wider varieties of subjects...

Masomo kama accounting,business studies, economics psychology etc yangeongezwa, sio kila siku PCB tu,

Mwanafunzi akianza Kuanzia o level accounting, akasoma mpaka chuo kikuu accounting atakuwa ameiva haswaa....

Moja ya sababu wasomi wetu wanalaumiwa kuwa hawako competent ni hilo,Tungeanza kuspecialize tukiwa watoto, tungetoa wasomi, wasomi haswaaaa
 
Mfumo wetu wa elimu unatakiwa kuwa reviewed kwa mambo mengi ikiwemo kumuwezesha mtu kujiajiri na kujifunza namna ya kupata mtaji
 
Hello

Nilikua nauliza kama vyuo wanatoa Open days na tester days,lengo ni kumpa mwanafunzi uelewa wa course anayoitaka kufanya na wapi..??

Sio watu wanachagua somo, mwisho wanakuta sio passion yao...

Pia masomo ya chini A level na O level yawe mengi,kumpa mtoto choice of wider varieties of subjects...

Masomo kama accounting,business studies, economics psychology etc yangeongezwa, sio kila siku PCB tu,

Mwanafunzi akianza Kuanzia o level accounting, akasoma mpaka chuo kikuu accounting atakuwa ameiva haswaa....

Moja ya sababu wasomi wetu wanalaumiwa kuwa hawako competent ni hilo,Tungeanza kuspecialize tukiwa watoto, tungetoa wasomi, wasomi haswaaaa
*open days...tester days**..ndo vitu gani hivi mkuu...
 
Then uzi wako haueleweki maana upo mguu juu kichwa chini...namashaka na elimu ulionayo ww
 
kuna mambo mengi hayana umuhimu inabidi yaachwe kusomwa. kama somo la DS lina topics za ajabu sana ambazo hazina manufaa katika jamii, lecture anafundisha wewe unajiuliza why am I studying this? stuff zipo out of date wao wanatubugiza tu [emoji16] [emoji16]
 
Back
Top Bottom