Hivi ushawahi kujiuliza kwa nini boys na girls lifestyles zao zinabadilikia vyuoni,jinsi ya kuongea,mavazi tabia na swaga nyinginezo????????????
Mambo ya chuoni ni ya chuoni,yaani hiyo ni generation yao,unaweza ku-adopt au la.ukiona vipi unapotezea sio kila linalofanywa na generation fulani ufuate.
Inategemea wewe umetoka katika mazingira gani,na una lifestyle ipi,je,unaweza kuvumilia mazingira mapya?!!