Vyuo vya Engineering hupokea lini maombi ya kujiunga?

mijey

Member
Mar 16, 2023
16
15
Mimi nataka kusomea kozi ya electrical engineering lakini nimefuatilia vyuo Niweze kuapply kwenye website zao naona application zipo za miaka ya nyuma.

Kwa yeyote anayejua muda au mambo ya kuapply naomba anitaarifu ikiwezekana naomba na ushauri kuhusu kozi hiyo ya electrical engineering kama naweza kujiajiri mwenyewe.
 
Tayari wamesha fungua kaombe
 
Kwani vipi DIT au pale Arusha Tech hawatoi? Aende uko pako swafi tu na Chet chako safi cha 4m4 unachukuliwa.
 
Back
Top Bottom