Vyuo vya computer Science kwa elimu ya form four

Vyuo vya computer Science kwa elimu ya form four

Vyuo vipo ila havipo deep sana ukicompare na vyuo vya nje,Kuna ATC(Arusha Techinical College) na IFM,kidogo hivi vinatambulika na somehow vyajitahidi,,ila kwa ushauri tu,,kama huna a realy interest futa mawazo kusoma chochote kinachohusu hii field including(Com Engineering,IT,ICT),utabugi,hizi field yakupasa uwe na kipaji nazo,field moja rahisi vilevile ngumu sana,yani uwezi kuwa professional kwa kukaa tu darasani nakumsikilaza prof,kusoma handouts kujibu mtihani na kufaulu tu,,inakupasa uwe quick learner na mtafutaji pia,kilakukicha mambo yanabadilika, technology inabadilika,kwaio ni ongoing learning.Kitu kingine,ukisoma kibongobongo iliukimaliza uajiriwe basi haikufai,inabidi hujiongeze kama hujuavyo nchi yetu ipo nyuma sana technological!ila kwa upande wa field yenye future nzuri sana ni hii,incase of mbefele ni moja ya top paying jobs currently via Forbes(The Highest Paying In-Demand Jobs In America - Forbes)

bro kwa ilo niko fiti mbaya shaka ondoa
 
Back
Top Bottom