Vyuo vya clinical medicine majanga

Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
40,353
73,931
Sidhani kama wana wakufunzi wa kutoa elimu inayotegemewa. Kuna chuo wanafunzi wanaingia mwaka wa pili wanajifunza siasa za udaktari/utabibu; akuna Pharmacology, wala internal medicine, pathology and the like! Sasa wanasoma nini na muda ndio hivyo unayoyoma?
Sawa na vyuo vya kilimo vya certificate na diplome, ni kulima tu! kulima, kulima kulima! Ni source ya manamba wa kulima!
 
Kada ya utabibu ngazi ya stashahada ni bomu linalosubri kulipuka asee. Vyuo binafsi vinafanya biashara tu hakuna cha zaidi.
Napata mashaka na uwezo ya NACTE katika usimamizi wa elimu ngazi ya stashada.
 
NACTE has to do more supervision than that!
 
unachokisema ni kweli kabisa kuna chuo kimoja kipo eneo moja la dar et kinatoa kozi ya pre medicine na nursing one year course kozi ambazo kwa ufahamu wangu kozi hizo haziko kwenye mfumo wa nacte sasa wasi wasi wangu ni kuwa mpaka watoto wa masikini wa tanzania wanaingizwa mjini je necta wako wapi ,vyuo hivi vya binafsi kuna ujanja ujanja sana na wizi utapeli mkubwa waziri anaye husika afuatilie jambo hili ili kuokoa jamii nzima maana kuna hatari mbelen
 
Uko sawa kabisa, vyuo kama hivyo ni kivitaja!
 
si wahusika wanajifanya hawaoni, sijui huwa wanahongwa hela wasiwafungie!!! niliwahi sikia kauli ya Dr mmoja anafundisha hivyo vyuo, huwaambia wanafunzi wake kuwa "wasijitese sana, kusoma kufaulu, wasitake kujua vingi, mengine watayajulia hukohuko kazini"
nilisikitika maana yeye mwenyewe alisoma kwa nguvu na kujituma ila anawashawishi juniors wasijitume.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Elimu huria hiyo, watu wanajianzishia vyuo kama njugu hakuna ufuatiliaji wala udhibiti, bora liende
 
Back
Top Bottom