Impimpi
JF-Expert Member
- Jan 7, 2019
- 464
- 948
mkuu kumbe hawajaweka?mwaka huu hawajaweka limitation za watu waliomaliza miaka ya nyuma kuapply kozi za afya na ualimu vyuo vya serikali.
mkuu kumbe hawajaweka?mwaka huu hawajaweka limitation za watu waliomaliza miaka ya nyuma kuapply kozi za afya na ualimu vyuo vya serikali.
Acha kutafuta followerTCU WAMETOA KITABU CHA MWONGOZO KWA WATAKAOTUMA MAOMBI YA KUDAHILIWA KATIKA VYUO VIKUU MBALIMBALI
note
mwaka jana baadhi ya waombaji wa vyuo walikosa vyuo kutokana na kutofuata maelekezo yaliyotolewa kwenye kitabu hicho kutokana na kutokufahamu huko paliwasasababishia kuchagua degree programme ambazo hawakukidhi vigezo vyake
kuepusha hii sitofahamu download tcu guide book hapa uchambue degree programme ulizokidhi vigezo vyake
Hajafungua bado mbona wameweka tu guidebookNdio mkuu
ndio hawajaweka so inabidi tuwapigie sim tujue kabisamkuu kumbe hawajaweka?
Mkuu vipi system bado wameifunga au ipo open kuanzia sasa hv..??? Maana naona km bado imefungwaAlafu jana system ilikua open now wameclose
Haaa hawa nacte mfumo wao unayumba wakati mwingineWashafungua na kufunga nahis dish lao limeyumba
Sijui wanaapply vipi na kwa link gani hawa wajuvi wa mambo maana mim kila nikiapply wanasema dilisha la udahili litafunguliwa hv karibuni...... Sasa sjui nakwama wapi wakuu....!!!???Me nishaaply kila chuo mm ndo wakwanza alafu cha kushangaza ni certificate tu sa sijui wamenitapel hela yangu wajuv wa mambo nisaidien
Wamefungua ila bado hawajaruhusu kuanza applications...nahisi kuna mambo wanayaweka sawa tuwe na subira tu..Sijui wanaapply vipi na kwa link gani hawa wajuvi wa mambo maana mim kila nikiapply wanasema dilisha la udahili litafunguliwa hv karibuni...... Sasa sjui nakwama wapi wakuu....!!!???
Shukran , Asante sana kwa taarifaWamefungua ila bado hawajaruhusu kuanza applications...nahisi kuna mambo wanayaweka sawa tuwe na subira tu..
Usiogope tulia tu ikiwa tayari tena utaangalia kama nawewe upoVya sirikali mkuu