Vyuo vya afya mbona ni vichache sana mwaka huu

TCU WAMETOA KITABU CHA MWONGOZO KWA WATAKAOTUMA MAOMBI YA KUDAHILIWA KATIKA VYUO VIKUU MBALIMBALI

note
mwaka jana baadhi ya waombaji wa vyuo walikosa vyuo kutokana na kutofuata maelekezo yaliyotolewa kwenye kitabu hicho kutokana na kutokufahamu huko paliwasasababishia kuchagua degree programme ambazo hawakukidhi vigezo vyake

kuepusha hii sitofahamu download tcu guide book hapa uchambue degree programme ulizokidhi vigezo vyake

Acha kutafuta follower
 
*UDAHILI NGAZI YA CHETI NA DIPLOMA (NACTE) 2019/2020.*

Je, wewe ni muhitimu wa kidato cha 4 au 6 na unataka kutuma maombi ngazi ya cheti au diploma kupitia NACTE?

Je, wewe ni mtu uliyehitimu au kuendelea na elimu ila ungependa kufanya udahili wa ngazi ya cheti au diploma?

Je, unaye mdogo wako au ndugu mwenye uhitaji wa kufanya udahili ngazi ya cheti kwa mwaka 2019/2020?

*TUNATOA HUDUMA YA KUTUMA MAOMBI YA VYUO NGAZI YA CHETI NA DIPLOMA (NACTE) POPOTE ULIPO.*

PIA KWA WOTE WENYE UHITAJI WA USHAURI AU MASWALI KUHUSU UOMBAJI WA NAFASI ZA VYUO NGAZI YA CHETI NA DIPLOMA KWA MWAKA 2019/2020 HUDUMA INAPATIKANA.
TUNAPATIKANA UBUNGO, DAR ES SALAAM KWA MAWASILIANO PIGA SIMU AU TUMA UJUMBE KWA NAMBA 0752026992/ 0737728947.

N.B. HUDUMA INAPATIKANA POPOTE ULIPO DAR ES SALAAM NA HATA MIKOA MINGINE PIA.

KARIBUNI SANA

0752026992 / 0737728947.
 
Me nishaaply kila chuo mm ndo wakwanza alafu cha kushangaza ni certificate tu sa sijui wamenitapel hela yangu wajuv wa mambo nisaidien
Haaa hawa nacte mfumo wao unayumba wakati mwingine
 
Me nishaaply kila chuo mm ndo wakwanza alafu cha kushangaza ni certificate tu sa sijui wamenitapel hela yangu wajuv wa mambo nisaidien
Sijui wanaapply vipi na kwa link gani hawa wajuvi wa mambo maana mim kila nikiapply wanasema dilisha la udahili litafunguliwa hv karibuni...... Sasa sjui nakwama wapi wakuu....!!!???
 
Wamefungua ila bado hawajaruhusu kuanza applications...nahisi kuna mambo wanayaweka sawa tuwe na subira tu..
 
Ndo ivo dish lao linayumba
Sijui wanaapply vipi na kwa link gani hawa wajuvi wa mambo maana mim kila nikiapply wanasema dilisha la udahili litafunguliwa hv karibuni...... Sasa sjui nakwama wapi wakuu....!!!???
 
ni afadhali wakapunguza maana products zinazotoka kwenye baadha ya vyuo ni hatari sana huku mtaani
 
Back
Top Bottom