RAJAB MAHA
New Member
- Sep 21, 2014
- 2
- 0
Tatzo vyuo vengine bado
naomba kusaidiwa kwa vyuo vya MUHAS na KCMCU kama wameshatoa post zao..plz.
Wameshatoa ingia hapa #SelectedstudentsDIT
sua wamegoma jamanii kunashida gani
Habari za usiku vp kwa anaejua mbn wengine hatuwez kulogin tcu...inakuaje hapo wakuu cuz kila mtu anaongelea kuhusu kuchaguliwa lkn wengine hatuoni hata hiyo link yenye majina,,msaada tafadhari
kufikia jmoc tcu watakuwa wametoa general selection!..presh ipo wik ijayo wakati wazee wa olas wana upload mzigo