Vyuo vilivyotoa majina hadi sasa

hapa ni mpaka baadae...labda ndo vyuo vingine watatoa...tutulize munkari...pumzikeni...mambo yote yatakaa vzur...ndo bongo yetu hiyo...
 
kufikia jmoc tcu watakuwa wametoa general selection!..presh ipo wik ijayo wakati wazee wa olas wana upload mzigo
 
Habari za usiku vp kwa anaejua mbn wengine hatuwez kulogin tcu...inakuaje hapo wakuu cuz kila mtu anaongelea kuhusu kuchaguliwa lkn wengine hatuoni hata hiyo link yenye majina,,msaada tafadhari

tcu wanatengeneza link ya selection so tulia muda ukifika button ya selection itatokea kwny link ya cas ambapo kila mmoja ataweza kujua ni wapi alipopelekwa.,unayosikia sasa ni majina yaliyotolewa na vyuo husika so kama vip view web zao
 
Back
Top Bottom