Vyuo vilivyotoa majina hadi sasa

Hii imekuja baada ya tcu kuanza kutuma majina ya fresher kwenye website za vyuo husika,mpaka sasa,saut,udsm,makumira na st.francis mambo yapo hadharani,kwako unaetaka kujiangalia kupitia website ya tcu utakesha na pengine hutaambulia chochote kwa website yao iko busy,ushauri ni bora ukapititia kwenye website ya chuo husika,au jamii forum kuangalia kama waungana wametupia attachment

umawashwa nini???tuliza mshono huo
 
Mpaka sasa tayari vyuo vifuatavyo vimeshatoa majina
1.archibishop mihayo tabora
2.st.joseph
3.tumaini makumira
4.stella maris mtwara
5.udsm
6.cuhas bugando
7.saut mwanza
8.st.francis
tutaendelea kujulishana kadri tutavyokuwa kuwa tukipata taarifa

jordan university(juco) na wao wametoa jana
 
MBONA Kwenye website ya Archibishom Mihayo cha Tabora hayo majina hayapo? au mnaangalia shemu gani,, please anaejue text me via 0655485211
 
Back
Top Bottom