Vyuo vilivyotoa majina hadi sasa

Vyuo vilivyotoa majina hadi sasa

Walivo toa selection wakati ulemara ya kwanza nlichaguliw open sasa nasublniangalie waktoa selection kama npo ili nihame
 
Hello,
All who applied directly through
TCU can log into their TCU account
and check where they have been
allocated.
Please provide feedback if you are
successful

source: mzumbe fb page.

Baada y kupoxt status iyo kwny page yao baadh ya wa2 wakatoa comments zao, lakin admin wa mzumbe hakukaa kmy ndio alipowajibu kwmba
mzumbe haijapata majina toka tcu.
 
Jamani kwa wanaofahamu ni lini sua itatoa majina ya selected undergraduate wanaochukua degree.
 
Hello,
All who applied directly through
TCU can log into their TCU account
and check where they have been
allocated.
Please provide feedback if you are
successful

source: mzumbe fb page.

Baada y kupoxt status iyo kwny page yao baadh ya wa2 wakatoa comments zao, lakin admin wa mzumbe hakukaa kmy ndio alipowajibu kwmba
mzumbe haijapata majina toka tcu.

Mmmmm 😕😕😕😕
 
naomba majina ya ita yatakapokuwa tayr mtu aniambie japo kw msg or whtsp ktk no. 0772993820
 
Any Updates wanatoa lini majina ya waliochaguliwa?? Mfumo wa tcu mwaka huu sio kama ule wa mwaka jana ulikuwa unaingiza Index No na Password kisha unajua umechaguliwa wapi?


Dogo angu nilimchaguliwa hicho chuo cha maji sasa amezidi kuwehuka vyuo vingine kibao wametoa ila hawa MAJI bado....!SO ANYONE ana info tujuzane
 
Back
Top Bottom