Vyuo Vikuu visivyo na sifa kufutwa!

Unavijua vigezo vya mtu kuajiriwa kufundisha chuo kikuu? Hasa vyuo vikuu vya uma, vikiwemo SUA na MUHAS
Hilo swali lina uhusiano gani na ni namna gani graduate wa SUA angeweza ku-fight for postgraduate studies compared na yule wa MUHAS?
 
Labda kama waliowasomesha PhD wamemaliza January hii na kurudi kazini, Mi nimemaliza masters yao mwaka huu ulioisha jana kampasi ya Dar, so najua nachoongea mkuu, najua walionifundisha wana elimu zipi
 
waanze na vyuo vya st joseph , huku tawi lao la songea walimu wote ni wahindi waswahili wanne tu. mhindi ana certificate ya nursing anafundisha agric. engeneering, chuo cha sayansi hakina jengo la maabara. hapa ni uhuni tu hawa wahindi weusi
 
Duh! Pale Dar nahisi wanaenda vilaza wanaojua hawataimudu shule. Mi naongelea main campus. Degree ya Dar na main ni vitu viwili tofauti.
Lakini si ni campas ya mzumbe mkuu, why hawafundishi wenye PhD?
 
Phd ilivyo ngumu hivyo, Waziri atasubiri sana
kwa kweli kwa kigezo cha nusu ya walimu kuwa na PHD naogopa hata kuhesabu idadi ya vyuo vitakavyobaki-itatokea disaster.
 
Tutor anakuwa na shahada ngapi? Mtu anaweza kuwa na shahada moja lakini akawa vizuri kuliko mwenye shahada 2.Kuna wanafunzi hubakishwa kuwa tutors baada ya kufaulu vizuri!
 
Waifute TEKU
 
Huyu Prof wa Agha Khan sasa anaanza kwenda mrama,Hao wenye PhD mkuu wa nchi ndo amewapa uwaziri na ukatibu ukuu sasa nani atafundisha vyuoni kama si hao wenye degree moja ama mbili?wakati mwingine PhD sio ishu kuna watu wapo vzr na wana Masters tu kuliko hao Madokta.
 
Sasa udom yale majengo yao watayafanyia nini kama ikitokea kikafungwa?
 
Pia naomba akafanye uchunguzi wa madoctor wanaosupervise wanafunzi ngazi ya masterz na phd maana wanalali dissertations za wanafunzi mpaka watoe rushwa mbalimbali ili waweze kuwatoa. Kama mtu huna uwezo wa kutoa rushwa ndo unatoswa tu.

Si useme SAUT.
 
Huo nimtihani katoa
Tutegemee upinzani pia maana ni jambo gumu
 
Tatizo ni moja je akishafungia hivyo vyuo hao wanafunzi wa hivyo vyuo atawapeleka wapi na wameshapoteza muda wao na pesa zao?
 
St. Augustine ni chuo kisicho na sifa tenaa kwasasa,halafu wana vicollege kila mahali nchi hii. HOVYOOO.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…