nyumba kubwa
JF-Expert Member
- Oct 8, 2010
- 10,309
- 8,398
Hilo nalo neon...asilimia 50 wawe na PhD subiri watakuja na za kichina....hicho kigezo cha nusu ya waalimu kuwa na phd ni too high .hata hivyo vyuo huanzishwa baada ya kusajiliwa na mamlaka husika.tusifurahie kuvifunga bali kuvitaka vizingatie viwango.
Ni kweli kabisa. Na kama ni hvyo wasingevisajili in the first place. Km kweli kasema hayo basi kakurupukaHilo nalo neon...asilimia 50 wawe na PhD subiri watakuja na za kichina....
Aseme tu vyuo private haviruhusiwi. Maana udsm au sua wana connections nyingi kusomesha walimu phd na pia wanasoma wengine kwa pesa ya serikali kodi. Huwezi fananisha na private. Kwa nn vilisajiliwaHuyu sasa anaanza kuboronga..mtu makini huwezi kutoa kauli ambayo unajua haitekelezeki. Hilo la kufunga vyuo ambavyo havina asilimia 50 ya wahadhiri wenye phd atachemka tu???
Hawa maprofesa saa zingine ni kama wanapiga byomboKutokuwepo kwa ajira kunasababishwa zaid na kutokuwepo uwekezaji wa kutosha ktk sekta zinazozalisha ajira kwa wingi mfano viwanda vya usindikaj mazao ya kilimo, samaki, na mazao ya biashara, sidhan kama inasababishwa na ukosefu wa walimu wenye sifa ktka vyuo, unless kuna study imefanyika kuprove hiyo, nakubali vyuo vimekuwa vingi na ubora wake ni wa mashaka mfano vyuo vingi sana viko kariakoo havieleweki vizur, wakati tukifuta vyuo visivyo na sifa tuangalie pia je wahitaji walikuwa na sifa za kuingilia vyuon? kama wanazo na wamekosa vyuo linaweza kuwa tatizo jingine, ambalo linatukabili saiv, kuwa na wanafunz wenye sifa za kwenda chuo, pengine wengine wanaweza kujilipia lkn kwa ile kasumba ya kubalance supply ya wanaomaliza vyuo na nafasi za kaz ikasababisha kuwa na wataalam wachache mfano kwene fan ya udaktari.
TCU SIO JIPU NI KANSA INAYOSPREAD FASTNahisi TCU ni jipu
nawavifunge tu, angalau sasa heshima ya masters na PhD itarudiVyuo vingi vitafungwa hasa kwa kigezo cha walimu wenye sifa maana wengi wanaofundisha vyuo vikuu wana degree moja na wenye shahada za uzamivu ambao ndio wanatakiwa wewe angalau nusu ya walimu wote katika chuo kimoja ni wa kuhesabu kwenye vyuo vingi.
Kwa uandishi huu, vifungwe tu. Master ndo nini?
Wacha hizo hakuna kitu kama hicho tunaposema ku supervise namaanisha kukupa maelekeze kwenye thesis yako una ambae anakuongoza kufanya research na kuandika thesis na sizungumzii wodini hata siku moja na vile vile kwenye mitihani lakini MUHAS kitu hicho ni cha kawaidaKwa medical school aliye kutangulia kusoma ndie mkubwa bro, Mwanafunzi wa masters(resident) husimamiwa na specialist au expert katika field husika na pia huyo resident anasifa za kuwasimamia MD students na Intern doctors. Mkuu utaalam wa maswala ya tiba ni exposure ktk cases mbalimbali na si vinginevyo.
Bora atuelezee inaitwaje?Kwani inaitwaje Mkuu?
Tuambie kifuu tundu inaitwaje?Hata mtoto wangu anakuzidi uwezo wewe nyau.
Unadai hadhi ya PhD na masters ionekaneee!? Sijui una maana ganiii kwamba kwa kupungua watu wanaofanya masters kutapunguza idadiiii ya watuuu na hvo itaonesha kikundiii kidogooo tu cha watu ndo kinaelimu hyooo ama kitaongeza kwa mtazamoo wa kwamba itapatikana kwa viwango na vigezo sahihinawavifunge tu, angalau sasa heshima ya masters na PhD itarudi
cc: Mkoroshokigoli
Ni kweli, St John's University kuna kipindi walilalamikiwa,kabla TCU hawajafika wakawapa watu u-professor fasta, Dr Malcom kuwa prof Malcolm. Wengine walikuwa SA kabla hawajamaliza wakapewa Dr's. Kichekesho walivyomaliza wakaajiriwa kwingineko lkn mpka kesho wapo kwenye Prospectus yao. Nenda St Joseph College of Engineering... Yaani mama prof fanya fasta au huwajui wa bongoVyuo hivyo hivyo vina mamlaka ya kutoa hizo PhD. Hivyo atakuta wameshajipatia hizo PhD backdated kukidhi vigezo!
umeuliza ,kisha ukatoa majibu humo humo. asante kwa kunisemea!Unadai hadhi ya PhD na masters ionekaneee!? Sijui una maana ganiii kwamba kwa kupungua watu wanaofanya masters kutapunguza idadiiii ya watuuu na hvo itaonesha kikundiii kidogooo tu cha watu ndo kinaelimu hyooo ama kitaongeza kwa mtazamoo wa kwamba itapatikana kwa viwango na vigezo sahihi
Kama ni hoja ya pili nakuunga mkono kama ni ya kwanza inawezekana elimu yako haikusaidiii katika kujenga mitizamo ya kisasa
MastersKwani inaitwaje Mkuu?
Masters
SAUTI alichosoma Gentamycine na anakisifia eti bonge la chuo, ngoja aje aione hii comment yako.Si useme SAUT.