Vyuo Vikuu kukataza 'past papers'

Vyuo Vikuu kukataza 'past papers'

Hata huo uanazuoni ili tukupime kama umeiva lazima tukupe mtihani...
Ndio, lazima upewe mazoezi, majaribio, mitihani na ufanye tafiti... Ila sio 'past papers' ambazo husomwa na kusoviwa ili kukariri majawabu!
 
Dah Najivunia kusoma Open university of Tanzania.....Ushindi Wa mezani huku hakuna...ikumbukwe kuna wanachuo wengi Wa liomaliza open wamekua wakifanya vizuri .Masters hata school of law.....mwaka Jana aliyefanya vizuri alitokea OUT.,.......
 
Mimi ni Asistant Lecturer , mtihani wangu nawapa wanafunzi maswali wakayasolve na wanaenda kuyakuta kwenye paper na hawachomoki vile vile.
 
Dah Najivunia kusoma Open university of Tanzania.....Ushindi Wa mezani huku hakuna...ikumbukwe kuna wanachuo wengi Wa liomaliza open wamekua wakifanya vizuri .Masters hata school of law.....mwaka Jana aliyefanya vizuri alitokea OUT.,.......
Juhudi za mtu mwenyewe hizo,
 
Juhudi za mtu mwenyewe hizo,
Nipo in service.....lakini hawa fresh from chuo kikuu.....aisee naona kama uelewa wao mdogo sana..mpaka huwa nawaza kweli hivi hizo degree wanapewaga bure au...
 
wako sawa hakuna shida tunapo elekea nikuzur labda niseme ivo...maana ni vyuo vichache vinavo fanya ivo ningependkza iwe kwa vyuo vote
 
Tatizo module nyingi ni ndogo sana ivo walim hawana maswali mapya zaid ya kurudia hayohayo kila mwako unakuta test za miaka minne zinafanana so in some extent kuna ukweli kdg
 
Kuna mwalimu wangu wa somo fulani chuo...alikuwa anarudia maswali... yaaani ukisolve paper ya mwaka uliopita ulikuwa na uhakika wa kupata zaidi ya nusu mtihani...
 
Back
Top Bottom