Leo ningependa kutoa wito kwa vyuo vikuu vyote (public na private), vihakiki uhalali wa vyeti vya secondari vilivyowahi kuwasilushwa kwao na wahitimu wao kama sifa za kuomba kuchukua masomo ktk vyuo vyao. Uhakiki huu unaweza kuanzia miaka ya 80 au 90 mpaka 2016. Nina hakika hapa watakamatwa wengi sana waliojazana sekta binafsi.