Vyuo vikuu bora Tanzania

Vyuo vikuu bora Tanzania

Ucngekua mpuuzi kiasi hicho kama ungekua umesoma hivyo vyuo. Me sihangaikii chuo changu kiwe bora africa wala mtaani kwetu nahangaikia mimi niwe bora leo kuliko nilivyokua jana hatakama ntasoma chuo cha msakatongee, maana ubora wa chuo hauna maana kwangu kama mimi nitatoka na upuuzi nilioingianao ( ambao naamini wewe bado unao).

Sent using Jamii Forums mobile app
upuuzi ni tabia ya kupuuzia mambo ambayo mimi sina, wewe si mtu mwerevu unashindwa kutumia maneno sahii wakati unatunga sentesi yako. Hiii pamoja na majadiliano unayoyafanya inaonyesha kwa kiasi gani baada ya kukaa darasani haukuelimika, tatizo ni hivyo vyuo ulivyosoma na aina ya elimu uliyopata
 
Pole sana ndugu yangu. Hivi unafahamu kama ujinga na upuuzi ni generational? The less you know the less ur kids and their kids will know. Kwahyo u have to learn for yourself and your generation. Huo ujinga wakung'ang'ania title ya chuo ulichosoma haukusaidii na utaangamiza kizazi chako. And for the record, me nmeishia for 4 bhanaa, ila am glad I didn't make it to college b'se it looks like I could end up being a fool like u( sijui elimu gani hizo mnasoma..!!! ). Dunia inamengi sana yakujifunza mbali na yale yaliyopo Harvard ama Cambridge au massachusets. Be smart, I know you can.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
2018 League Table of the top 200 Universities in Africa
Rank University Country
1
University of KwaZulu-Natal
bg.gif
za
2University of Pretoria
bg.gif
za
3University of the Witwatersrand
bg.gif
za
4University of Cape Town
bg.gif
za
5University of Johannesburg
bg.gif
za
6North-West University
bg.gif
za
7Universiteit Stellenbosch
bg.gif
za
8University of Nairobi
bg.gif
ke
9University of the Western Cape
bg.gif
za
10Cairo University
bg.gif
eg
11Rhodes University
bg.gif
za
12The American University in Cairo
bg.gif
eg
13Universiteit van die Vrystaat
bg.gif
za
14Universidade Católica de Angola
bg.gif
ao
15University of Ibadan
bg.gif
ng
16Cape Peninsula University of Technology
bg.gif
za
17Nelson Mandela University
bg.gif
za
18Tshwane University of Technology
bg.gif
za
19University of Fort Hare
bg.gif
za
20University of Nigeria
bg.gif
ng

Yaani elimu yetu ni shida tupu ni aibu ata kuendelea, alafu bado kuna watu wanasema wamesoma vyuo hapa TANZANIA
Hapo chini umemaliza vibaya

Punguza zarau la sivyo na wewe utadhauriwa tu pamoja na hivyo vyuo vyako hakuna mtu atakaye kupa sifa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ardhi ya 6?
Rudi field

[emoji252] [emoji479]
 
Elimu ya Chuo Kikuu ni moja ya malengo ya wanafunzi wengi shuleni ambayo pia huhesabiwa kama moja ya kilele muhimu cha safari ya kielimu. Nchini Tanzania elimu imeganyika katika mtindo wa elimu ya awali, ya msingi, ya sekondari na ya chuo. Katika ngazi ya chuo nako kumegawanyika kwani vipi vyuo ambavyo hutoa vyeti na diploma na vipo vile ambavyo hutoa shahada (digrii). Hapa chini tumekuwekea orodha ya vyuo vikuu bora nchini Tanzania vinavyotoa shahada. Orodha hii imezingatia pamoja na mambo mengine idadi ya tafiti ambazo chuo hufanya kwa mwaka, uwiano wa mwalimu kwa wanafunzi, machapisho (publications), heshima katika majukwaa ya elimu ya kimataifa pamoja na mambo mengine. Orodha hii ni kama ifuatavyo.

Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM)
Hiki kiko jijini Dar Es Salaam na ndicho chuo kikongwe zaidi nchini. Kilianzishwa mwaka 1970.

2. Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine (SUA)

Chuo hiki kiko mkoani Morogoro na kilianzishwa mwaka 1984. Kinatoa elimu hasa katika mambo ya tafiti za kilimo, chakula, mifugo na teknolojia katika mambo hayo.

3. Chuo Kikuu cha Mzumbe (MU)

Kama ilivyo kwa SUA, hiki nacho kinapatikana mkoani Morogoro. Awali kilifahamika kama IDM-Mzumbe lakini kikapanda ngazi na kuwa chuo kikuu mwaka 2001. Kina matawi katika maeneo mbalimbali nchini.

4. Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM)

Chuo hiki kinapatikana Jijini Dodoma na kilianzishwa mwaka 2007. Kama ilivyo kwa UDSM, SUA na MU, vyuo hivi vyote vinamilikiwa na serikali.

5. Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS)

Chuo hiki nacho ni mali ya serikali, kinapatikana jijini Dar Es Salaam na kilianzishwa mwaka 1963.

6. Chuo Kikuu cha Ardhi (ARU)

Chuo hiki kinapatikana jijini Dar Es Salaam. Kinamilikiwa na serikali na kilianzishwa mwaka 2007.

7. Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela (NM-AIST)

Chuo hiki kilianzishwa mwaka 2010, kiko jijini Arusha. Kinamilikiwa na serikali.

8. Chuo cha Kumbukumbu ya Hubert Kairuki (HKMU)

Hiki kilianzishwa mwaka 1997, zamani kikiitwa Mikocheni International University. Umiliki wake ni binafsi na kinatoa hasa elimu ya tiba katika kuanzia stashahada hadi shahada ya uzamili.

9. Chuo Kikuu cha Tumaini (TU)

Hiki kinamilikiwa na Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) na kilianzishwa mwaka 2007. Kinapatikana mtaa wa Ikungi Jijini Dar Es Salaam. Kina matawi katika maeneo mbalimbali nchini.

10. Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustino Tanzania (SAUT)

Chuo hiki kinamilikiwa na Kanisa Katoliki Tanzania. Kinapatikana mkoani Mwanza lakini pia kina matawi katika maeneo mbalimbali nchini. Kilianzishwa mwaka 2002.

Sent using Jamii Forums mobile app

Kuna Chuo Kikuu Huria Cha Tanzania (Open University of Tanzania). Naona tunapozungumzia vyuo vikuu hapa nchini mara nyingi huwa tunakisahau. Niseme wanafunzi wa Chuo Kikuu Huria Cha Tanzania ni kama kuku wa kienyeji. Sifa mojawapo ya kuku wa kienyeji ni kujitafutia chakula wenyewe na nyama yao ni tamu kuliko ya kuku wa wa kufugwa.
 
H
Elimu ya Chuo Kikuu ni moja ya malengo ya wanafunzi wengi shuleni ambayo pia huhesabiwa kama moja ya kilele muhimu cha safari ya kielimu. Nchini Tanzania elimu imeganyika katika mtindo wa elimu ya awali, ya msingi, ya sekondari na ya chuo. Katika ngazi ya chuo nako kumegawanyika kwani vipi vyuo ambavyo hutoa vyeti na diploma na vipo vile ambavyo hutoa shahada (digrii). Hapa chini tumekuwekea orodha ya vyuo vikuu bora nchini Tanzania vinavyotoa shahada. Orodha hii imezingatia pamoja na mambo mengine idadi ya tafiti ambazo chuo hufanya kwa mwaka, uwiano wa mwalimu kwa wanafunzi, machapisho (publications), heshima katika majukwaa ya elimu ya kimataifa pamoja na mambo mengine. Orodha hii ni kama ifuatavyo.

Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM)
Hiki kiko jijini Dar Es Salaam na ndicho chuo kikongwe zaidi nchini. Kilianzishwa mwaka 1970.

2. Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine (SUA)

Chuo hiki kiko mkoani Morogoro na kilianzishwa mwaka 1984. Kinatoa elimu hasa katika mambo ya tafiti za kilimo, chakula, mifugo na teknolojia katika mambo hayo.

3. Chuo Kikuu cha Mzumbe (MU)

Kama ilivyo kwa SUA, hiki nacho kinapatikana mkoani Morogoro. Awali kilifahamika kama IDM-Mzumbe lakini kikapanda ngazi na kuwa chuo kikuu mwaka 2001. Kina matawi katika maeneo mbalimbali nchini.

4. Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM)

Chuo hiki kinapatikana Jijini Dodoma na kilianzishwa mwaka 2007. Kama ilivyo kwa UDSM, SUA na MU, vyuo hivi vyote vinamilikiwa na serikali.

5. Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS)

Chuo hiki nacho ni mali ya serikali, kinapatikana jijini Dar Es Salaam na kilianzishwa mwaka 1963.

6. Chuo Kikuu cha Ardhi (ARU)

Chuo hiki kinapatikana jijini Dar Es Salaam. Kinamilikiwa na serikali na kilianzishwa mwaka 2007.

7. Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela (NM-AIST)

Chuo hiki kilianzishwa mwaka 2010, kiko jijini Arusha. Kinamilikiwa na serikali.

8. Chuo cha Kumbukumbu ya Hubert Kairuki (HKMU)

Hiki kilianzishwa mwaka 1997, zamani kikiitwa Mikocheni International University. Umiliki wake ni binafsi na kinatoa hasa elimu ya tiba katika kuanzia stashahada hadi shahada ya uzamili.

9. Chuo Kikuu cha Tumaini (TU)

Hiki kinamilikiwa na Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) na kilianzishwa mwaka 2007. Kinapatikana mtaa wa Ikungi Jijini Dar Es Salaam. Kina matawi katika maeneo mbalimbali nchini.

10. Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustino Tanzania (SAUT)

Chuo hiki kinamilikiwa na Kanisa Katoliki Tanzania. Kinapatikana mkoani Mwanza lakini pia kina matawi katika maeneo mbalimbali nchini. Kilianzishwa mwaka 2002.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo kwa SAUT umechemsha!!!! Haiwezekani SAUT iwe bora kuzidi CUHAS almaarufu kama chuo cha tiba Bugando.
 
Back
Top Bottom