Oworuganda
JF-Expert Member
- Feb 6, 2016
- 2,187
- 2,800
Ndio ninachomaanisha,zamani MUHAS mzee,lilikuwa tawi la UDSM. Pitia kumbukumbu zako vizuri
Ndio ninachomaanisha,zamani MUHAS mzee,lilikuwa tawi la UDSM. Pitia kumbukumbu zako vizuri
Mkuu ma Prof na ma Dr wako si unawaona wanayoyafanya? hii list iko kwenye utaratibu.Mkuu umeanza vzur sana, ila nashindwa kuelewa kama nikweli unataka nyie tuu ( in case na wewe umo) mliosoma nje ya mipaka ndo muongee kwamba mmesoma vyuo. Ama nashindwa kuelewa kama nikweli unataka watu kutoka mataifa yote yasiyo kwenye hiyo list wahamie kusoma Misri na SA, that's too shallow.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tupo pamoja 👍View attachment 845708nimeona chief
Me naamini kama unapma kwa ubora wa ma prof na ma dr wa tz basi elimu mbovu ipo nchi nyingi sana, maana ma prof wengi na ma dr hawajapatia hizo level hapa bongo.Mkuu ma Prof na ma Dr wako si unawaona wanayoyafanya? hii list iko kwenye utaratibu.
Mkuu, hiyo list imewekwa kwa kutumia vigezo ambavyo vyuo vyetu havinaMe naamini kama unapma kwa ubora wa ma prof na ma dr wa tz basi elimu mbovu ipo nchi nyingi sana, maana ma prof wengi na ma dr hawajapatia hizo level hapa bongo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi sina tatzo na hyo list, ninatatzo na jinsi ulivyotafsir hiyo list nakuona wanaosema wamesoma vyuo vya ndani hawana maana. Nadhani ukiiangalia list ya top 500 ( sio 50, 500) za dunia utashauri africa tusiwe na elimu kabisa tubaki na uchawi, mpira na kuiga.Mkuu, hiyo list imewekwa kwa kutumia vigezo ambavyo vyuo vyetu havina
Mkuu huo ndiyo ukweli, ndiyo maana mzungu mmoja mwenye bunduki ya gobore alikua anaburuza kijiji kizima, ni issue ya maarifa tuMimi sina tatzo na hyo list, ninatatzo na jinsi ulivyotafsir hiyo list nakuona wanaosema wamesoma vyuo vya ndani hawana maana. Nadhani ukiiangalia list ya top 500 ( sio 50, 500) za dunia utashauri africa tusiwe na elimu kabisa tubaki na uchawi, mpira na kuiga.
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah[emoji1] [emoji1] [emoji1]2018 League Table of the top 200 Universities in Africa
Rank University Country
1University of KwaZulu-Natalza![]()
2University of Pretoriaza![]()
3University of the Witwatersrandza![]()
4University of Cape Townza![]()
5University of Johannesburgza![]()
6North-West Universityza![]()
7Universiteit Stellenboschza![]()
8University of Nairobike![]()
9University of the Western Capeza![]()
10Cairo Universityeg![]()
11Rhodes Universityza![]()
12The American University in Cairoeg![]()
13Universiteit van die Vrystaatza![]()
14Universidade Católica de Angolaao![]()
15University of Ibadanng![]()
16Cape Peninsula University of Technologyza![]()
17Nelson Mandela Universityza![]()
18Tshwane University of Technologyza![]()
19University of Fort Hareza![]()
20University of Nigeriang![]()
Yaani elimu yetu ni shida tupu ni aibu ata kuendelea, alafu bado kuna watu wanasema wamesoma vyuo hapa TANZANIA
Kwahiyo tawi lilikuwepo kabla ya shina lake?MUHAS lilikuwa tawi la UDSM mkuu.
Ndo nilikuwa namsahihisha mkuu.
Ameshahakikisha tayari..! Hakuna utata tena.
na UDSM ime zaa MUHAS.... HATARI tupu...Umesema UDSM ndo kongwe zaidi na imeanzishwa 1970
Mbona hiyo MUHAS ni ya 1963 ipi kongwe zaidi sasa?
Vp emesahau MOCU moshi mkuu?Elimu ya Chuo Kikuu ni moja ya malengo ya wanafunzi wengi shuleni ambayo pia huhesabiwa kama moja ya kilele muhimu cha safari ya kielimu. Nchini Tanzania elimu imeganyika katika mtindo wa elimu ya awali, ya msingi, ya sekondari na ya chuo. Katika ngazi ya chuo nako kumegawanyika kwani vipi vyuo ambavyo hutoa vyeti na diploma na vipo vile ambavyo hutoa shahada (digrii). Hapa chini tumekuwekea orodha ya vyuo vikuu bora nchini Tanzania vinavyotoa shahada. Orodha hii imezingatia pamoja na mambo mengine idadi ya tafiti ambazo chuo hufanya kwa mwaka, uwiano wa mwalimu kwa wanafunzi, machapisho (publications), heshima katika majukwaa ya elimu ya kimataifa pamoja na mambo mengine. Orodha hii ni kama ifuatavyo.
Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM)
Hiki kiko jijini Dar Es Salaam na ndicho chuo kikongwe zaidi nchini. Kilianzishwa mwaka 1970.
2. Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine (SUA)
Chuo hiki kiko mkoani Morogoro na kilianzishwa mwaka 1984. Kinatoa elimu hasa katika mambo ya tafiti za kilimo, chakula, mifugo na teknolojia katika mambo hayo.
3. Chuo Kikuu cha Mzumbe (MU)
Kama ilivyo kwa SUA, hiki nacho kinapatikana mkoani Morogoro. Awali kilifahamika kama IDM-Mzumbe lakini kikapanda ngazi na kuwa chuo kikuu mwaka 2001. Kina matawi katika maeneo mbalimbali nchini.
4. Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM)
Chuo hiki kinapatikana Jijini Dodoma na kilianzishwa mwaka 2007. Kama ilivyo kwa UDSM, SUA na MU, vyuo hivi vyote vinamilikiwa na serikali.
5. Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS)
Chuo hiki nacho ni mali ya serikali, kinapatikana jijini Dar Es Salaam na kilianzishwa mwaka 1963.
6. Chuo Kikuu cha Ardhi (ARU)
Chuo hiki kinapatikana jijini Dar Es Salaam. Kinamilikiwa na serikali na kilianzishwa mwaka 2007.
7. Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela (NM-AIST)
Chuo hiki kilianzishwa mwaka 2010, kiko jijini Arusha. Kinamilikiwa na serikali.
8. Chuo cha Kumbukumbu ya Hubert Kairuki (HKMU)
Hiki kilianzishwa mwaka 1997, zamani kikiitwa Mikocheni International University. Umiliki wake ni binafsi na kinatoa hasa elimu ya tiba katika kuanzia stashahada hadi shahada ya uzamili.
9. Chuo Kikuu cha Tumaini (TU)
Hiki kinamilikiwa na Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) na kilianzishwa mwaka 2007. Kinapatikana mtaa wa Ikungi Jijini Dar Es Salaam. Kina matawi katika maeneo mbalimbali nchini.
10. Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustino Tanzania (SAUT)
Chuo hiki kinamilikiwa na Kanisa Katoliki Tanzania. Kinapatikana mkoani Mwanza lakini pia kina matawi katika maeneo mbalimbali nchini. Kilianzishwa mwaka 2002.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahyo mwisho wa siku hata hiyo list uliyoweka hapo ni upuuzi tuu ( kwa uelewa wako) kitu ambacho generally utaniambia kama hujasoma kwenye top 100 au 200 ya dunia basi hujasoma, ambayo hiyo itamaanisha mimi na wewe ni wapuuzi wawili wasioelewa wala kuelimika ( mimi cdhani ). I don't know about you man, ila me nimeelimika na wala sihitaj kutafuta chuo bora nikasome huko, maana ninawafahamu wapuuzi waliosoma nje ya mipaka. ts all about determination and understandingMkuu huo ndiyo ukweli, ndiyo maana mzungu mmoja mwenye bunduki ya gobore alikua anaburuza kijiji kizima, ni issue ya maarifa tu
Usi conclude wakati hauna facts, unajuaje kama mimi sijasoma katika top 10 za dunia, shughulikia changamoto ya vyuo vyako angalau vionekane kwenye top 10 ya afrika.Kwahyo mwisho wa siku hata hiyo list uliyoweka hapo ni upuuzi tuu ( kwa uelewa wako) kitu ambacho generally utaniambia kama hujasoma kwenye top 100 au 200 ya dunia basi hujasoma, ambayo hiyo itamaanisha mimi na wewe ni wapuuzi wawili wasioelewa wala kuelimika ( mimi cdhani ). I don't know about you man, ila me nimeelimika na wala sihitaj kutafuta chuo bora nikasome huko, maana ninawafahamu wapuuzi waliosoma nje ya mipaka. ts all about determination and understanding
Sent using Jamii Forums mobile app
Ucngekua mpuuzi kiasi hicho kama ungekua umesoma hivyo vyuo. Me sihangaikii chuo changu kiwe bora africa wala mtaani kwetu nahangaikia mimi niwe bora leo kuliko nilivyokua jana hatakama ntasoma chuo cha msakatongee, maana ubora wa chuo hauna maana kwangu kama mimi nitatoka na upuuzi nilioingianao ( ambao naamini wewe bado unao).Usi conclude wakati hauna facts, unajuaje kama mimi sijasoma katika top 10 za dunia, shughulikia changamoto ya vyuo vyako angalau vionekane kwenye top 10 ya afrika.
Hivi udsm ikiwa top ten ya africa then what (kwangu mimi personally)...!!!?? Au lengo lako ilikua kuhakikisha tunajua kua hujasoma tanzania (nahic nimeanza kukuelewa)Ucngekua mpuuzi kiasi hicho kama ungekua umesoma hivyo vyuo. Me sihangaikii chuo changu kiwe bora africa wala mtaani kwetu nahangaikia mimi niwe bora leo kuliko nilivyokua jana hatakama ntasoma chuo cha msakatongee, maana ubora wa chuo hauna maana kwangu kama mimi nitatoka na upuuzi nilioingianao ( ambao naamini wewe bado unao).
Sent using Jamii Forums mobile app