Vyuo vikuu bora afrika

Imtu cha ngapi mkuu?

Top 100 Universities in Africa 2012, List of Best 10, 20, 50 African Universities for MBA, Engineering, Medical.
[h=3]Welcome to Top 100 Universities in Africa Section. Here you will find Top 100 Universities in Africa 2012, List of Best 10, 20, 50 African Universities for MBA, Engineering, Medical.

Top 100 Universities in Africa 2012:-

1. University of Cape Town, South Africa
2. Universiteit Stellenbosch, South Africa
3. Cairo University, Egypt
4. University of Pretoria, South Africa
5. University of the Witwatersrand, South Africa
6. University of KwaZulu-Natal, South Africa
7. University of South Africa, South Africa
8. University of the Western Cape, South Africa
9. Rhodes University, South Africa
10. The American University in Cairo, Egypt
11. University of Nairobi, Kenya
12. Makerere University, Uganda
13. Mansoura University, Egypt
14. Polytechnic of Namibia, Namibia
15. University of Dar es Salaam, Tanzania
16. University of Ghana, Ghana
17. University of Botswana, Botswana
18. University of Johannesburg, South Africa
19. Université de la Reunion, Reunion
20. Ain Shams University, Egypt
21. Université Cadi Ayyad, Morocco
22. University of Khartoum, Sudan
23. Cape Peninsula University of Technology, South Africa
24. Al Akhawayn University, Morocco
25. Université Cheikh Anta Diop, Senegal
26. University of Mauritius, Mauritius
27. Universidade Eduardo Mondlane, Mozambique
28. Helwan University, Egypt
29. Kwame Nkrumah University of Science and Technology, Ghana
30. University of Ibadan, Nigeria
31. Addis Ababa University, Ethiopia
32. University of Benin, Nigeria
33. Assiut University. Egypt
34. University of Namibia, Namibia
35. Mogadishu University, Somalia
36. University of Zimbabwe, Zimbabwe
37. University of Zambia, Zambia
38. University of Lagos, Nigeria
39. Presbyterian University College, Ghana
40. University of Ilorin, Nigeria
41. Nelson Mandela Metropolitan University, South Africa
42. The Hubert Kairuki Memorial University, Tanzania
43. Obafemi Awolowo University, Nigeria
44. North-West University, South Africa
45. Université des Sciences et de la Technologie Houari Boumediène, Algeria
46. Ahmadu Bello University, Nigeria
47. Université Mentouri de Constantine, Algeria
48. Strathmore University, Kenya
49. Zagazig University, Egypt
50. Universiteit van die Vrystaat, South Africa
51. The German University in Cairo, Egypt
52. Sudan University of Science and Technology, Sudan
53. Tshwane University of Technology, South Africa
54. Kenyatta University, Kenya
55. Université d'Alger, Algeria
56. Université Abou Bekr Belkaid Tlemcen, Algeria
57. Al Azhar University, Egypt
58. Tanta University, Egypt
59. University of Jos, Nigeria
60. Université Abdelmalek Essadi, Morocco
61. Université de Batna, Algeria
62. Université Mohammed V - Souissi, Morocco
63. Université Abdelhamid Ibn Badis Mostaganem, Algeria
64. Université Djillali Liabes, Algeria
65. Minoufiya University, Egypt
66. Université Hassiba Ben Bouali de Chlef, Algeria
67. Université Sidi Mohamed Ben Abdellah, Morocco
68. MISR University for Science and Technology, Egypt
69. Moi University, Kenya
70. Université Saad Dahlab Blida, Algeria
71. United States International University, Kenya
72. Université d'Oran, Algeria
73. University of Port Harcourt, Nigeria
74. National University of Rwanda, Rwanda
75. South Valley University, Egypt
76. Université M'hamed Bouguerra de Boumerdes, Algeria
77. Université Mohammed V - Agdal, Morocco
78. University of Fort Hare, South Africa
79. Durban University of Technology, South Africa
80. Jomo Kenyatta University of Agriculture and Technology, Kenya
81. Université de Nouakchott, Mauritania
82. Central University of Technology, South Africa
83. University of Limpopo, South Africa
84. Université Badji Mokhtar de Annaba, Algeria
85. University of Zululand, South Africa
86. Mauritius Institute of Education, Mauritius
87. Jimma University, Ethiopia
88. Université de Ouagadougou, Burkina Faso
89. École Nationale Supérieure en Informatique, Algeria
90. Minia University, Egypt
91. Université Mouloud Maameri de Tizi Ouzou, Algeria
92. Université Amar Telidji Laghouat, Algeria
93. Université Hassan II - Mohammedia, Morocco
94. October 6 University, Egypt
95. Université Hassan 1er, Morocco
96. École du Patrimoine Africain, Benin
97. Université Gaston Berger, Senegal
98. Université des Sciences et de la Technologie d'Oran, Algeria
99. Egerton University, Kenya
100. Université d'Antananarivo, Madagascar
[/h]
 
muwamba ngozi huvutia kwake....sasa hpa UDSM kuna tofauti gan na vyuo vingine? kuwa wakwanza ku strike for loan may be.....hayuangalii ubora wa elimu kwa kuangalia report tunaangalia product inayotoka chuon...jee ukiweka mtu katoka hizo unaita institute na wa udsm ki utendaji na efficiency si wako sawa???kuwa chuo bora its nothing what we are looking for is what you have in your head.....na kumbuka kukaa karibu na warid si kwamba na wewe utanukia marashi.

Kula zote 100%.
 
Mabibi na Mabwana,

Sina shaka mnazo taarifa kwamba mwaka 2012 katika Orodha ya Ubora wa Vyuo Africa Nchi yetu ina Vyuo viwili tu ambavyo ni The Giant and Prestigous University( University of Dar es Salaam) nafasi ya 11 na Hubert Kairuki Memorial University nafasi ya 49.

Ukweli ni kwamba hizi INSTITUTES zilizopakwa rangi kuwa "universities" hazimo. Hii inadhihirisha kwamba bado kuna kazi ya kuboresha Elimu Tanzania siyo kwa kuongeza tu Idadi bali kiwango cha Ubora wa Elimu itolewayo.

Kiko wapi kiburi chao wale wanaodhani kwamba Institutes zao no bora na kudharau UDSM ambayo kwanza walikosa sifa za kujiunga wakakimbilia huko?

Hivi kumbe watu bado wanashindana juu ya chuo gani bora na kipi sio bora? Mi nadhani ubora wa chuo chako uwe ni kwa kiasi gani elimu uliyopata hapo imechangia kubadilisha maisha yako na kuwa ya mafanikio zaidi badala ya kung'ang'ania kipi bora na kipi sio bora.vyuo mnavifanya kama vyama vya siasa kwa jinsi mnavyovinadi na kila mtu akivutia kwake,acheni hizo!!!!!!!!!!
 
Ile ya kwanza sikuwapa vigezo lakini pia hata kwa kutumia vigezo vingine bado UDSM iko bora. Matokeo hayana tofauti sana na yale niliyotoa Mwanzoni: Haya sasa kwa vigezo vya ubora wa MBA,ENGINEERING NA MEDICAL bado matokeo kwa Tanzania ni yale yale inabadilika positions kidogo! USIBISHE KAMA USHAHIDI. Ukifanya hivyo basi huna tofauti na asiyeingia Darasani kabisa!!

Top 100 Universities in Africa 2012, List of Best 10, 20, 50 African Universities for MBA, Engineering, Medical.
Welcome to Top 100 Universities in Africa Section. Here you will find Top 100 Universities in Africa 2012, List of Best 10, 20, 50 African Universities for MBA, Engineering, Medical.

Top 100 Universities in Africa 2012:-

1. University of Cape Town, South Africa
2. Universiteit Stellenbosch, South Africa
3. Cairo University, Egypt
4. University of Pretoria, South Africa
5. University of the Witwatersrand, South Africa
6. University of KwaZulu-Natal, South Africa
7. University of South Africa, South Africa
8. University of the Western Cape, South Africa
9. Rhodes University, South Africa
10. The American University in Cairo, Egypt
11. University of Nairobi, Kenya
12. Makerere University, Uganda
13. Mansoura University, Egypt
14. Polytechnic of Namibia, Namibia
15. University of Dar es Salaam, Tanzania
16. University of Ghana, Ghana
17. University of Botswana, Botswana
18. University of Johannesburg, South Africa
19. Université de la Reunion, Reunion
20. Ain Shams University, Egypt
21. Université Cadi Ayyad, Morocco
22. University of Khartoum, Sudan
23. Cape Peninsula University of Technology, South Africa
24. Al Akhawayn University, Morocco
25. Université Cheikh Anta Diop, Senegal
26. University of Mauritius, Mauritius
27. Universidade Eduardo Mondlane, Mozambique
28. Helwan University, Egypt
29. Kwame Nkrumah University of Science and Technology, Ghana
30. University of Ibadan, Nigeria
31. Addis Ababa University, Ethiopia
32. University of Benin, Nigeria
33. Assiut University. Egypt
34. University of Namibia, Namibia
35. Mogadishu University, Somalia
36. University of Zimbabwe, Zimbabwe
37. University of Zambia, Zambia
38. University of Lagos, Nigeria
39. Presbyterian University College, Ghana
40. University of Ilorin, Nigeria
41. Nelson Mandela Metropolitan University, South Africa
42. The Hubert Kairuki Memorial University, Tanzania
43. Obafemi Awolowo University, Nigeria
44. North-West University, South Africa
45. Université des Sciences et de la Technologie Houari Boumediène, Algeria
46. Ahmadu Bello University, Nigeria
47. Université Mentouri de Constantine, Algeria
48. Strathmore University, Kenya
49. Zagazig University, Egypt
50. Universiteit van die Vrystaat, South Africa
51. The German University in Cairo, Egypt
52. Sudan University of Science and Technology, Sudan
53. Tshwane University of Technology, South Africa
54. Kenyatta University, Kenya
55. Université d'Alger, Algeria
56. Université Abou Bekr Belkaid Tlemcen, Algeria
57. Al Azhar University, Egypt
58. Tanta University, Egypt
59. University of Jos, Nigeria
60. Université Abdelmalek Essadi, Morocco
61. Université de Batna, Algeria
62. Université Mohammed V - Souissi, Morocco
63. Université Abdelhamid Ibn Badis Mostaganem, Algeria
64. Université Djillali Liabes, Algeria
65. Minoufiya University, Egypt
66. Université Hassiba Ben Bouali de Chlef, Algeria
67. Université Sidi Mohamed Ben Abdellah, Morocco
68. MISR University for Science and Technology, Egypt
69. Moi University, Kenya
70. Université Saad Dahlab Blida, Algeria
71. United States International University, Kenya
72. Université d'Oran, Algeria
73. University of Port Harcourt, Nigeria
74. National University of Rwanda, Rwanda
75. South Valley University, Egypt
76. Université M'hamed Bouguerra de Boumerdes, Algeria
77. Université Mohammed V - Agdal, Morocco
78. University of Fort Hare, South Africa
79. Durban University of Technology, South Africa
80. Jomo Kenyatta University of Agriculture and Technology, Kenya
81. Université de Nouakchott, Mauritania
82. Central University of Technology, South Africa
83. University of Limpopo, South Africa
84. Université Badji Mokhtar de Annaba, Algeria
85. University of Zululand, South Africa
86. Mauritius Institute of Education, Mauritius
87. Jimma University, Ethiopia
88. Université de Ouagadougou, Burkina Faso
89. École Nationale Supérieure en Informatique, Algeria
90. Minia University, Egypt
91. Université Mouloud Maameri de Tizi Ouzou, Algeria
92. Université Amar Telidji Laghouat, Algeria
93. Université Hassan II - Mohammedia, Morocco
94. October 6 University, Egypt
95. Université Hassan 1er, Morocco
96. École du Patrimoine Africain, Benin
97. Université Gaston Berger, Senegal
98. Université des Sciences et de la Technologie d'Oran, Algeria
99. Egerton University, Kenya
100. Université d'Antananarivo, Madagascar

Haya Mzumbe na wale wengine wako wapi tena?

Na uzuri hata heading inasema yenyewe kuwa ni top 100 University in Africa ktk category za MBA,Engineering na Medical wala hawajasema kama ni overall/all categories.IFM,CBE,Mzumbe,SAUT,Tumaini etc nadhani hakuna Medical wala Engineering labda MBA tu.Huu ushindani ni ktk hizo category 3 tu na sio zote ndugu mtoa mada na msomi wa UDSM coz naona unatukuza UDSM as if ni kila kitu in your life na kuponda vyuo vingine which is wrong!!!!!!!!!
 
Acheni wivu wa kike..udsm ni chuo bora,kaskazi na kusi mwa jangwa la sahara,recently kimekuwa namba 11 africa,vikitanguliwa na vyuo from south africa and egypt...ndio chuo pekee kinachoiweka tanzania kwene taswira atleast the country got some respect katika tasnia ya elimu... Nawashangaaga sana vijana waliokosa fursa ya kusoma udsm wamekua mwiba na kuimpose critics dhaifu afu hujidai wamesoma udsm kumbe wanatafunwa na jinamizi la udsm..
 
Hivi kumbe watu bado wanashindana juu ya chuo gani bora na kipi sio bora? Mi nadhani ubora wa chuo chako uwe ni kwa kiasi gani elimu uliyopata hapo imechangia kubadilisha maisha yako na kuwa ya mafanikio zaidi badala ya kung'ang'ania kipi bora na kipi sio bora.vyuo mnavifanya kama vyama vya siasa kwa jinsi mnavyovinadi na kila mtu akivutia kwake,acheni hizo!!!!!!!!!!

Hamna kitu kinachocount kama rank ya chuo kama hukuwahi kujua,tambua..wenzetu ulaya ambao ubepari umestik at their blood believe in competition ndo maana kila mwaka utasikia chuo labda havard, yale,stanford,ama MIT kimeshika nafasi ya ngapi... Ina units zake kwa usa..hawakurupuki kujaza tuu vyuo kama ilivyo huku bongo TCU wanapangia mtu chuo.. Ulaya hata mtoto mdogo anafuatilia kabisa university of his or her dream..ndo maana utasikia labda mwaka huu Princeton unversity imepokea aina flan ya wanafunzi,wenye aina flan ya ufaulu hii yote ni kwamba wenzetu hawana muda wa kusikiliza story za kijiweni wanaingia katika reliable site wanachek chuo gan kipo juu wanajiregista.
 
Hata kwenye 100 Bora haipo hiyo MZUMBE unayoita UNIVERSITY wakati ni INSTITUTE.Katika 100 bora Afrika ni UDSM na HUBERT KAIRUKI pekee. Upo hapo?

Vigezo vya universioty bora ni vipi? Tujue hilo na tukubaliane na vyo then we rank our universities. Haya mambo ya watu kukaa na kuweka ywanayoyajua wao ni upuuzi
 
wakuu ili chuo kiweze kutambulika kimataifa
lazima tuangalie elimu inayotolewa na publications ambazo zinafanywa aidha na wanafunzi wa masters na phd
na pia publications za wakufunzi wao katika international journals
kutokuwepo kwenye list ya vyuo tajwa haimaanishi elimu yao sio nzuri la hasha
kinachokuweka kwenye list ni zaidi tafiti wanazozifanya na publications.

sasa kama watu wanaosoma phd wanaandika monograph bila publications vyuo vitatabuliwa vipi?
sina shaka UDSM wanafanya hivo,Mzumbe na Sua kwa sasa wanafunzi wao wengi wako nje huenda wakavikwamua kama watajitahidi kupublish papers katika tafiti wanazofanya
ubaya wa walimu wa kitanzania ni wivu au jealous, hawako tayari kuwasaidia wanafunzi wao waweze kufanya publications,wanawakwamisha , wao wanapenda kukaa maofisini kuitwa dr au profesors that is their prosperity they like

huwezi kukuta prof wa kibongo yuko maabara anamasaidia mwanafunzi
,hawana ule moyo wa kujituma kama wenzao wazungu ambao ni maproffesor
lakini huwezi jua kama ni dr au prof na hawapendi kuitwa hivo wao wanapenda
kuchapa kazi na wanafunzi wao,though sometimes wanachukua data kijanja kama mwanafunzi umelala.

kwa wale mliosoma masters bongo mtaona mnavosumbuliwa kwenye thesis zenu

pia uelewa mdogo wa wanafunzi wa masters au phd kuhusu kufanya publications kwenye international journals
hebu tuamke watanzania sio kulalama vyuo fulani havipo jiulize wewe umekisaidia je kutambulika kimataifa?
tukishamaliza vyuo hatufanyi tafiti binafsi, tukishatoka maofisini ni bar then home what next???
 
hiyo udsm hata ingekuwa ya kwanza kidunia, tukiingia mtaani wote tunakuwa sawa tu na kutembea na vyeti mpaka tuchoke. cha msingi hapa tuhangaike na maisha yetu. kungekuwa na kipaumbele katika kupewa ajira kwa waliomaliza udsm hapo ningekubali. siku si nyingi udom mtatusikia kwenye bomba

Wee product ya UDOM chuo cha ccm akili yako kama ndugu yenu Nape! Sikuelewi kijana upo university tunategemea upate degree yaan mawazo yako yote ni uje kutembea na bahasha kuajiriwa..WTF!!!!! Wewe ni zigo jingine tena..the available evidence shows that wajasiria mali wengi tanzania ambao wameajiri watanzania wengi hata hawajafika form six,wengi hawana degree.. Wewe badala ya kumaliza chuo utumie ujuzi uliopata na maarifa na busara kujiajiri na kuajiri unawaza kutembea na bahaaasha..kweeli?? Hii nchi tunalalamika hakuna ajira, ukitizama ni asilimia 1.8% ya watanzania wenye degree..tatizo ni nin?...ukiangalia asilimia 90 ya watu wenye vigezo vya kupata ajira wapo mitaani tuu..kwanini.? Tatizo ni hawa wasomi 1.8% ambao baada ya kugraduate wanatembea na bahasha kama wewe kutafuta ajira badala ya kucreate ideas za kujiajiri! what I will tell you is UDSM is already ranked as among best university huwezi kuliondoa hilo, it will take 100 yrs UDOM kuja kufikia Udsm
 
wakuu ili chuo kiweze kutambulika kimataifa
lazima tuangalie elimu inayotolewa na publications ambazo zinafanywa aidha na wanafunzi wa masters na phd
na pia publications za wakufunzi wao katika international journals
kutokuwepo kwenye list ya vyuo tajwa haimaanishi elimu yao sio nzuri la hasha
kinachokuweka kwenye list ni zaidi tafiti wanazozifanya na publications.

sasa kama watu wanaosoma phd wanaandika monograph bila publications vyuo vitatabuliwa vipi?
sina shaka UDSM wanafanya hivo,Mzumbe na Sua kwa sasa wanafunzi wao wengi wako nje huenda wakavikwamua kama watajitahidi kupublish papers katika tafiti wanazofanya
ubaya wa walimu wa kitanzania ni wivu au jealous, hawako tayari kuwasaidia wanafunzi wao waweze kufanya publications,wanawakwamisha , wao wanapenda kukaa maofisini kuitwa dr au profesors that is their prosperity they like

huwezi kukuta prof wa kibongo yuko maabara anamasaidia mwanafunzi
,hawana ule moyo wa kujituma kama wenzao wazungu ambao ni maproffesor
lakini huwezi jua kama ni dr au prof na hawapendi kuitwa hivo wao wanapenda
kuchapa kazi na wanafunzi wao,though sometimes wanachukua data kijanja kama mwanafunzi umelala.

kwa wale mliosoma masters bongo mtaona mnavosumbuliwa kwenye thesis zenu

pia uelewa mdogo wa wanafunzi wa masters au phd kuhusu kufanya publications kwenye international journals
hebu tuamke watanzania sio kulalama vyuo fulani havipo jiulize wewe umekisaidia je kutambulika kimataifa?
tukishamaliza vyuo hatufanyi tafiti binafsi, tukishatoka maofisini ni bar then home what next???

Words.. Ulichosema ni sahihi..hata kama unataka kuandika journals kwa vyuo vyetu ni kazi, walimu wenyewe siku izi hawafanyi research kama zamani..of course point kubwa wanaangalia publications,staffs(idadi ya maprofessor it count a lot), grade za wanafunzi wanaojoin, wanaangalia course modules, mitihani wanafunzi wanayotungiwa na wanaangalia mchango wa chuo kwa jamii inayowazunguka katika kurise awareness
 
hiyo udsm hata ingekuwa ya kwanza kidunia, tukiingia mtaani wote tunakuwa sawa tu na kutembea na vyeti mpaka tuchoke. cha msingi hapa tuhangaike na maisha yetu. kungekuwa na kipaumbele katika kupewa ajira kwa waliomaliza udsm hapo ningekubali. siku si nyingi udom mtatusikia kwenye bomba

hata kama wote hampati kazi bado hamfanani amini nakwambia.
 
Hapo juu napata mkanganyiko mkuu.Moc nimeckia kwenye vyombo vya habar kuwa UDSM ilikuwa ya 6 out of 10,kwenye list ambayo nimechek mm ilikuwa ya 11.Bt naangalia hapo juu ni ya 15.Which is which?
 
kazi kwelikweli! univezite nyingine mtu anapata jipihaa ya 4.8 kwa kuvua chupi, kudesa, na kushikwa mkono na baba. utashindana na mkulima university wewe!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!1
 
huo ni ukweli kaka. wanaangalia zaidi machapisho ya tafiti. UDSM wameanza mbali sana kama makelele. UDOM nayo itakuja juu si amuda mrefu tena zaidi ya UDSM. SASA TUANGALIE KWAMBA PRODUCT YAKE NI BORA KULIKO WAVYUO WENGINE?
 
Umri pia wa taasisi ni kigezo muhimu kwani, tafiti na wanataaluma waliotoka kama zao la vyuo hivi kazi zao zinaonekana. Nafikiri TCU ndio wenye mamlaka yakuipa taasisi cheo cha Chuo Kikuu au lah na sio ushabiki. Pia ni muhimu kuzingatia ubora katika nyanja fulani, haiwezekani taasisi ikawa mahiri kwenye nyanja zote, kama UCHUMI, BIASHARA, USIMAMIZI WA FEDHA, LUGHA NA SANAA.
Labda hujui kuna mpaka PhD za Cat behavior analysis, yaani mtu anamchunguza paka tu, mpaka anatunikiwa shahada ya uzamilifu. Fungukeni jamani. Kama ulisoma kwa kuchuchumia sio kila mtu atapita huko, hiyo ilikua njia yako peke yako.
 
Mzumbe je? Ni ya ngapi kwa Ubora? Na Muhimbili vipi? Haurbert Kairuki!!!

unajua kila watu wanatoa list yao wanavyotaka. Huwezi niambia chuo kisicho na teaching hospital ni bora. Labda neno bora lina maana nyingine!
 
Kama chialo unasoma UDSM basi ww ni kiazi na.kilaza mkubwa. Mwanafunzi wa chuo hujui nn maana ya institute? Unatuaibisha, bora ufunge domo lako.

Halafu ujue chuo ni individual product, sio sifa ya chuo kizima. Ww chuo kuwa namba 1 halafu ww mbovu inakusaidia nn hiyo na. 1?

Kama soko la ajira hawataki product za aina yako, inakusaidia nn hiyo na. 1 ya chuo?

Kama usomi wa tz ndo huu bado tuna kazi kubwa, we are thinking nonsense halafu tunajiita wasomi.

Nyie ndio mlikuja UD kusoma vitivo ambavyo si malengo yenu, ilimradi tu uko UD, shame on u.
Elimu popote, ubora wa elimu ni product, na product inakuhusu ww individualy
 
Tatizo la kusoma Vyuo vya Kata! Hata kuelewa nilichoandika ni tatizo? Ningeandika Kiingereza si ingekuwa tatizo kubwa. Nimesema MZUMBE ni Institute siyo University! UMEELEWA?
 
Back
Top Bottom