Vyuo vikuu bora Africa, UDSM tupa kule

Vyuo vikuu bora Africa, UDSM tupa kule

waliongalia BBC swahili leo hawawezi bisha, ila hawa walozoea uongo wa huyu prof mshiriki kitila watabisha tu na washjaanza ubishi wao tayari
 
Kweli kazi ipo top 100 Tanzania tuna chuo kimoja tuuh...! Kweli jk na ccm yenu mumetuharibia sana elimu..
 
Dah!Sjui nihame kutoka UDSM niende nikamalizie japo MAKERERE?
 
Kwani BBC wanafanya tafiti? Taasisi kibao zinafanya...
BBC hawafanyi utafiti,ila wametoa taarifa hiyo na wameitaja taasisi ilofanya utafiti huo na vigezo walivyotumia,ungetenga dakika zako 30 tu usingebisha hiki tunachokwambia.
 
Chuo kikuu cha Dar es Salaam kilikuwa na ubora wa aina ya juu sana, lakini ukishakuwa na viongozi wa aina hii hapa chini basi ujue umeliwa; sishgangai kuona UDSM haimo tena katika ubora iliozowea. Wahadhiri wake wamekuwa ni waganga njaa sana wakiwa wanafanya tafiti za aina ya REDET zisizokuwa na miguu wala kichwa mradi waandikwe magazetini, na baadaye kupata vyeo.


m7-1.jpg
 
Kweli kazi ipo top 100 Tanzania tuna chuo kimoja tuuh...! Kweli jk na ccm yenu mumetuharibia sana elimu..

duuuh jamani hivi wabongo mbona ni walalamishi na tuna lawama za kipimbi kias hiki?? sasa jk anahusikaje na udsm kutokuwepo kumi bora jamani?? mbona waliosoma kwenye chuo kwa kile kijinga kidikteta cha r.wanda kik.agame hawajalalamika??
 
wasomi wenyewe ndio hawa wanaowashabikia akina fisadi lowasa?

Kama msomi wewe unaeshabikia chama cha mafisadi waliopiga hela za epa, escrow, rada na uuzaji wa nyumba za serikali hvi mmeshawafukuza au bado mnao????
 
mwaka 2008/9 UDSM ilikuwa ya 13 kwa ubora barani Afrika ikipitwa na vyuo vikuu 12 tu na vyote vikiwa toka bondeni kwa madiba. chuo kingine kilichofuatia nyuma kilikuwa University of Cairo. mwaka huo UDSM ilikuwa ya 800+ (nadhani 823 kama sikosei) duniani
Nashangaa miaka 6 baadaye Udsm haipo kwenye 30 bora za afrika. hii ni aibu kwa kweli. university of Makerere ilikuwa ya 18 na university of Nairobi ilikuwa mbali kabisa mwaka huo
miongoni mwa vigezo walivyotumia ni kuangalia publication kutoka kwenye chuo husika.
swali langu ni je wahadhiri wa udsm mnafanya research kweli na ku-publish? au mmebaki na title zenu za u-professor na u-docta?
kama hamfanyi tafiti na mmebaki tu kuprojekti powerpoint kuwalisha wanafunzi tafiti walizofanya wenzenu basi maendeleo kwa taifa hili yatakuwa ndoto
msisingizie fundi kwa sababu uchumi wa uganda na kenya hauchekani na wetu. kama hao wameweza ku-compete kupata fundi kwa nini nyie mshindwe wakati mna viwango vya elimu vinavyofanana kimataifa?
 
Back
Top Bottom