Vyuo vikuu bora Africa, UDSM tupa kule

Vyuo vikuu bora Africa, UDSM tupa kule

Umekurupuka Mzee,uombe radhi waudsm

Sema statistics imekurupuka,
Nimegundua the so called wasomi hawasomi vitu muhimu,
Tafiti imerank kutokana na research zinazofanyika katika chuo husika,
Aina ya ufundishaji pia.
UDSM inalalamikiwa na wanafunzi wenyewe kwa kutokua na muongozo mzuri wa research!!
 
Ni muhimu uwe unaangalia tarhere ya utafiti, unaongelea 2012 wakati sie tupo 2015. Halafu naona mwengine kaleta za webomatrix ambayo huwa inaangalia matumizi ya website kwa vyuo na wala sio ubora wa chuo. cc: bagamoyo
Issue sio tarehe issue ni legitimacy ya source... hao African Economist hao huwezi ita legitimacy source kabisa...
 
Sema statistics imekurupuka,
Nimegundua the so called wasomi hawasomi vitu muhimu,
Tafiti imerank kutokana na research zinazofanyika katika chuo husika,
Aina ya ufundishaji pia.
UDSM inalalamikiwa na wanafunzi wenyewe kwa kutokua na muongozo mzuri wa research!!
The problem watu wanatumia 4icu.org kama source ya ubora wa vyuo wakati 4icu.org hawatoi university ranking by academic performance wakati hata duniani hao The Times Higher Education ndio wanatumika kama reference na sio 4icu. Kwa miaka miwili au mitatu iliyopita, ilikuwa angalau unaweza kuwatumia URAP - University Ranking by Academic Performance ambao data zao angalau zinakaribiana na hao The Times Higher. URAP wameiweka UDSM nafasi ya 46 na SUA ya 54! And so long UDSM haipo kwenye 30 bora za Times, then unaweza ona position huenda ikafananafanana na position waliyopo kupitia URAP.
 
Wasomi wa TZ wako busy na siasa, UDBS ni school ya 4 Africa kwenye masuala ya Biashara

Hili neno,maana wanasiasa kila kukicha wao ni Kukimbilia vyuoni tu,haya ndio matokeo yake.Maana ukienda vyuoni utafikiria upo Bungeni vile kwenye hivi vikundi vya umoja wa vyama.

Ila Bora UDBS ipo top 4 in Africa kwa masuala ya Biashara angalau inatubeba
 
mie nadhan watu tukubal ukwel kwa sasa elimu ya tanzania inaendelea kushuka kila mwaka! UDSM ambayo tulikuwa inawakilisha vyema tz kwasasa uongozi wake umechanganya siasa na elimu mfano mzuri unadhihirisha hili ni uanzishaji wa kozi bila ya kuwa na maandalizi wala wataalam wa fani husika kwa kufwata shinikizo la viongozi wa juu!!
ni wakati wa wanafunzi pamoja na walimu kuamka sasa badala ya kujiona bora kwa maneno tu ya mdomon wadhihirishe kwa vitendo kwa kufanya tafiti nyingi ambazo zitekelezeke na sio kuishia kwe makaratac au watu kumeza vitini na kutema kwe mitihan kushindana gpa!! tujiulize wanafunzi tuamke kwanin kenya wanatuzidi, tuamke
 
ImageUploadedByJamiiForums1438455062.246358.jpg

Udsm ya 7
 
Uchumi mbovu unataka vyuo vitoe elimu bora?

Hii ni wishful thinking
 
Katika utafiti uliofanyika majuzi,
vyuo vikuu vya Afrika Kusini
vilishika nafasi 6 katika orodha
ya vyuo vikuu kumi bora.

Chuo kikuu cha Makerere nchini
Uganda kimeorodheshwa katika
nafasi ya tatu.

Chuo kikuu cha Port Harcourt
kilichoko Nigeria kimeorodhesha
katika nafasi ya sita.

Chuo kikuu cha Nairobi nchini
Kenya kimeorodheshwa katika
nafasi ya nane.

Jarida la ''The Times Higher
Education'' lilitumia idadi na
ubora nukuu kutoka kwa
wasomi wake.

Je viwango vya ubora wa
masomo na utafiti wa vyuo vikuu
vyetu Bongo hususani UDSM vimeshuka ?
Hamna kitu bali n umalaya tuu
 
Wanafunzi wa udsm wamebaki wakijitapa mitaani eti wao ni bora kumbe hawana utofauti na wanafunzi wa CBE.

Sheeeeeeenzy type.


Kama rais mwenyewe jei Kei alifeli na anaitwa Dr. itakuwaje kwa wengine akina nani kajampa???

Ngoja Lowassa aingie ikulu, mabadiliko yataonekana mpaka vyuoni.
 
mtoa post ni mhitimu wa udom,twambie udom iko nafasi ya ngapi?
 
ritz Acha utoto mbowe huyu macho kumchuz division zero

Mkuu
Huyo anaetajwa hapo ni George Frederick Mbowe, mnyasa amekulia Dodoma Majengo. Amefariki 29/02/12 kutokana na kiharusi.

Amefanya kazi:-
Tanzania Inv. Bank-CEO
EADB-CEO
TTCL-CEO
PSRC-Chairman.

Mbowe unae mtaja wewe hajulikani kwenye orodha ya wana taaluma labda ya wasanii.
 

Attachments

  • i.jpg
    i.jpg
    14.5 KB · Views: 160
Tangu mkandala alipoanz kujihusisha na siasa nikajua udsm kitaporomoka2. Ona sasa. Siasa mpaka vyuoni. Bado udom
 
Ukiona mtu anakuja na mlengo wa kufurahi Udsm kushuka ujue ni wale waliokosa fursa ya kusomea chuo hicho cha ukweli na badala yake akasoma vyuo vyao vya kichovu vya kufunfishwa na mtu mwenye masters tu
 
mtoa mada hzo habari zako wala hazna ukweli nadhani unachuki binafsi dhid ya udsm
 
Back
Top Bottom