Vyuo vikuu bora Africa, UDSM tupa kule

Vyuo vikuu bora Africa, UDSM tupa kule

Jamani ee! Kwa jinsi ninavyosoma huu uzi nagundua kuna wanafunzi wa udsm wako humu na wanachangia kwa mihemko tu bila kufanya tafakuri ya kina
Udsm haiko katika hali nzuri na nyinyi nyote mnalijua hilo, ila kukitetea chuo chako si dhambi lakini ukweli utabaki kuwa ukweli, mwanafunzi wa udsm fanya tafakari, chunguza, dadisi ni nn sababu ya hii habari ya udsm kushuka imeshika kasi?!
Angalia ni mambo mangapi katika kampasi ya udsm ambayo hayako sawa?! Chunguza wahadhili wangapi wanafanya mambo yasiyokuwa na mantiki (pro. Mbonile) wanaongea upuuzi tu lecture room au zaidi jiulize ni maprofesa wangapi ni waandishi wa tija?! Na hapa lazima uandishi na tafiti zijikite katika kutatua matatizo, udsm kuna matatizo chungu mzima mazingira tatizo, mahall ni machafu, seawage system chuo kizima ni mbovu, maabala ya computer science computer nne ndio nzima, na matatizo mengi ya nature hiyo ambayo binafsi nadhani ni matatizo ambayo katika jamii ya wasomi ambapo kuna maprofesa na wasomi wa kila namna hatukutakiwa kuyaona hayo yakiwa katika kiwango cha juu kiadi hicho.
Pili wanafunzi wa udsm ni deadshell (si wote) ila wengi ni mizigo tu, wamejikita ktk mambo yasiyokuwa na msingi (mabash badala ya midahalo ya kugonganisha fikra), mapenzi, na mambo mengine ya kipuuzi.
Kiukweli udsm pursuing of pure knowledge for both teachers and students imeshuka, na haya ndio matunda yake.
 
Mimi nimesoma udsm BA in statistics ila kiukweli comment kama zako ni za kijinga, unavyosifia chuo kimoja kwakuwa ww umesomea hapo na kuviponda vingine inakusaidia nn?
Uwe unatoa comment zenye kujenga hii nchi ni yetu sote ubovu wa taasisi moja ya elimu ni janga la nchi nzima! Ni sawa na sawa na macho yajitambe kuwa yanaona vizuri na kuicheka miguu kuwa ni kilema, ukilema wa miguu ni tatizo kwa macho pia. Naomba nikuulize swali?! Ukoo wenu wote mmesoma udsm? je ambaye hajasoma hautoassociate naye kwa kuwa hakusoma udsm?
 
safi na asante kwa fact mana watanzania hatuna uzalendo kila mtu anashutum tuu

Tatizo we only want to hear news that please us, mfano tunafurahi EL kujiunga Chadema without questioning our Intuition, his integrity, intention, valiability, no research, no fact....etc
 
Nadhani hoja ya msingi hapa kipindi tunabishana kuhusu nafasi halisi ya udsm tujiulize pia na nn ni sababu ya kuporomoka?!
Kwanza nitoa taarifa tu kuwa mwanafunzi hachangii kwa namna yoyote katika rank za vyuo, i hope we are all aware of that.
Ni tafiti mbali mbali za maprofesa na madokta zilizo na tija ndio zina impact katika rank za chuo husika, acha kulalama, jiulize ni maprofesa wangapi unaowajua ww ambao umesoma tafiti zao?!
Msiwe washabiki tu wa kushupalia hata vitu visivyo na maana, ni wahadhili wangapi tunajua kabisa ni chenga?! Nenda economics pale, nenda ST kule rudi udbs mambo ni yale yale, walimu hawajajikita katika kutoa pure knowledge, na ni wavivu na hayo ndio yanatucost, zanani chuo kilikuwa na watu kama kina prof kivaisi, prof. Shayo na wengine ambao kweki mpaka leo tunaona michango tai kwani hata vitabu vipo, leo hii nenda pale departmnt ya fizikia utakimbia kwa utumbo uliopo pale.
 
Back
Top Bottom