Vyuo vikuu africa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vyuo vikuu africa

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Crux Yar-die, Apr 12, 2011.

 1. C

  Crux Yar-die Member

  #1
  Apr 12, 2011
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hivi kufelisha wanafunzi ndio kipimo cha elimu bora?
  inashangaza vyuo vya africa ndio vinavyoongoza kwa kufelisha wanafunzi lakini kwenye rank za vyuo bora duniani vipo mbali sana.
   
 2. KWI KWI

  KWI KWI JF-Expert Member

  #2
  Apr 12, 2011
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 286
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Fafanua Please....hili neno ''kufelisha'' haujaeleweka vizuri...
   
Loading...