Huwezi ukapata vyuo bora Tanzania kutokana na outcome yake... Lecturers kina Kabudu, Bashiru afu wanafunzi wao ndio kina Katambi π€£ anatembea na katiba wakati ukimuuliza swali la katiba aliyoishika hawezi kujibu kwakutumia hiyo katiba!!.
Just imagine Rais wa wanafunzi ni Kiriba sijui KIRIBA TUMBO... Yupo busy kusifia upuuzi wa ccm!