Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 360,984
- 831,552
Tunaweza pia kuviita vyuo au taasisi za kichawi
Naileta mada hii maalum kwa wale wenye uelewa mdogo na wanaodhani kuwa unapotaja ushirikina au uchawi unamaanisha Africa au Tanzania tuu
Ni mara nyingi tu hapa jukwaani inapowekwa mada inayohusu uchawi au ushirikina kuna baadhi yetu hupenda kuchangia kwa post za dharau kama
-miafrika bwana ndio maana hatuendelei
-ndio maana Tanzania inaongoza kwa uchawi
-Hizo ni porojo na mambo ya kufikirika nk nk
Lakini wasilolijua ni kwamba hii elimu huko kwa wenzetu ina vyuo kabisa na Tanzania inayosifika kuongoza kwa uchawi ikiwa haina hata kimoja
1. Taasisi ya lady Zirkaya,
2. Baba Yaga University of magic hiki kina matawi Ukraine, Hungary, Czech Republic nk
3.Beaubatons school of magic learning France
4. Borealis school of magic leaning Canada
5. Bruxaria school of witchcraft
6. Durmstrang Institute Norway
7. Heka school of ancient magic Egypt
8.Kunlun China
9. Mahoutokoro school of magic Japan
Kwahiyo tujifunze kupambanua mambo na tusione kinachoandikwa hapa ni porojo na story za kusadikika
Wenzetu hawadharau hata kitu kimoja na wameamua kulifanyia kazi na kuweka mpaka vyuo na wamefaidika na mengi na nchi inaingiza mapato kupitia kwayo