Vyumba vya mateso

Mbna unaongelea vitu out of topic,

Tusiharibu uzi, brother let's end here

 
Big up Mshana jr umenipa darasa. Sasa ninajua kwanini vitani mpiganaji akiona no way karibu anatekwa huamua kujiua. Hata asipojiua yeye. wapiganaji wa upande wake watamuua ili asijeteswa akatoa siri za upande wake
 
Inahitaji roho ngumu sana kuweza kuhimili mateso na ugome kabisa kuongea mbele ya watesi want... Unaweza kuvumilia kwa siku mbili tatu lakini ya nne lazima ufunguke...
Mateso mengine huwezi jua kama ni mateso
Kunyimwa usingizi..utavumilia kwa saa zisizozidi 72, yani kila ukitaka tu kulala wanakufanyia jambo litakalokata usingizi wote
Kuna aina nyingi za mateso na kuna wataalam
Ndio maana Majasusi wengi lazima wapitie mafunzo ya kuhimili mateso
 
Kweli kabisa kuna aina nyingi ya mateso ila vitisho na mateso ya moja kwa moja macho kW macho hutia hofu zaidi likifwatiwa na onyo Kali na bora kupetezwa MTU muhusika kuliko kuchukuliwa kutekwa na kuuliwa ndugu zako
 
sasa kama anajua na haja usika..... i mean akushirikishwa wataka aongee nini kwa harakaa haraka..... muacheni bhnaaaa yeye sio taira kukaaa kimnyaaa
 
sasa kama anajua na haja usika..... i mean akushirikishwa wataka aongee nini kwa harakaa haraka..... muacheni bhnaaaa yeye sio taira kukaaa kimnyaaa
 
muache
maana anajifanya roboti wakati akikanyaga mwiba anaruka
 
Wakikumaliza kabsa inakua sio mateso inakua ni mauaji,,ila hii ni kukutesa ili uteseke
 

Acha porojo jomba.

ungekuwa hivyo unavyosema ungeanza kuja na utambulisho wako halisi humu JF.
 
Ushujaa sio kubeba mimba maana ni asili ya mwanamke kuzaa,,ila hapa unaharibia kila idara ya mwili,hisia na cchte kile.. Angalia we mwenyewe kujipiga pcha ya utupu tu simu ikikupotea unachanganyikiwa,,sasa hapa unalegezwa kila kiungo,,unalawitiwa na kurekodiwa halafu mkanda wa rekod hyo wanao wao,,unaingiziwa chakula kwa njia ya tigo,unawekwa kwenye chumba cha giza ambacho usiku au mchana haujulikani na umefungwa miguu na mikono unakula kama mbwa,huku kucha zinatolewa kila siku moja moja,au chumba maji yanakufika mdomoni,,we acha kabsa suala la mimba,,mimba ukizaa tu uchungu wote kwishaaa,,umeshaona mama anaezaa anaomba kuuliwa afie mbali,,lakin kwenye chumba cha mateso utatamani uuliwe.. Ogopa sana kuuliwa taratibu huku ukishuhudia unavyouliwa. Ndio maana wanazaa hata watto kumi na tatu na wanafurahia
 
Samahani wajameni natoka nje ya mada.. Hivi huyu baba mwenye nyumba anafuata dhehebu gani? maana namuona kwenye makanisa tofauti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…