Victor wa happy
JF-Expert Member
- Apr 24, 2013
- 11,660
- 11,663
Kwahiyo unataka kusema Roma hakutekwa bali alikuwa baa anakunywa hebu uwe na uwezo wakufikiria hata kidogoasante mshana jr kwa maoni yako ila naamini hata wewe umesimuliwa au kusoma tu mtandaoni huna uhakika kama roma alitekwa ama la. endelea kutuliwaza na stori za kichawi tu haya huyajui kaka
Kusadikika nn..., Yesu n mungu.. N mwanadam yup awezaye kuifanya Dunia kuwa mahal salama... Bullshit Israel Hao ndo wachafuz wakuu wa Dunia yetu..Wengi hapa mnaogopa sana kuteswa
Je mnaweza kuiilinda nchi yenu mbele ya maadui
Je unaweza kuiilinda familia yako ipone ili we ufe
Huu uzi nilitegemea niwaone wanawake tu wakilia km kawaida yao
But for men, huu ni utani
Bahat nzur wiki hii YESU KRISTO wiki hii anaenda kupita mateso makali pale msalabani
Hebu fikria kijana Yesu na umri wake chini ya miaka 35
Alisimamia kile anachokiamini na alifikia malengo
Leo hii Yesu ndiye mtu maarufu Zaid duniani pengine na kwingne tuskokujua
. Yesu angeamua kuingia mitin leo hii angewekwa kundi moja na Yuda msalit
Kupitia Yesu huwa napata ujasiri uliopitiliza, leo hii wazee kwa vijana wanalitaja jina la Yesu
Fikria tu Mandela Unafikiri alipitia mateso gani
That nigger Martin Luther pale USA unafkr hakujua madhara atakayoyapata for condemning civil rights
Tusitiane uoga, naamini humu weng ni vijana, sasa sisi tukiwa waoga watoto wetu tutawafundisha nini?
Nina rafik yangu wa kiisraeli kwenye Mtandao huwa ananipa Challenge hadi nachoka, and he is only 23
We live once, thamani yako sio kuogopa kufa,.... Thamani yako ni kuifanya dunia iwe sehemu nzuri ya kuish
Toa mchongo wako hata ukifa familia, nchi, dunia ikukumbuke hata ukifa chini ya watu wabaya
Waterboarding can cause extreme pain, dry drowning, damage to lungs, brain damage from oxygen deprivation, other physical injuries including broken bones due to struggling against restraints, lasting psychological damage, and deathWATERBOARDING IS THE SHITTEST OF ALL!!
Kusadikika nn..., Yesu n mungu.. N mwanadam yup awezaye kuifanya Dunia kuwa mahal salama... Bullshit Israel Hao ndo wachafuz wakuu wa Dunia yetu..
So wakat unaandika jaribu kushirikisha ubongo wako...hakuna mwanadam anaetaka kuifanya Dunia iwe sehem salama..kama n hivyo kusingekua na chemical weapons... Think big bro
nimesema sina uhakika kama alitekwa ama la. acha kunilisha manenoKwahiyo unataka kusema Roma hakutekwa bali alikuwa baa anakunywa hebu uwe na uwezo wakufikiria hata kidogo
ni wapi nimeandika kwamba najua,umerogwa!!!Tueleze wewe unaeyajua
Idiots vp mkuu...lazma ushirikishe ubongo wako vizur...hakuna anaejaribu kufanya Dunia iwe salama..Idiots
Kauli kama hizi ndizo tunazosema mtu ameropoka.Hakuna mateso magumu kama waliyopitia mama zetu kutubeba tumboni miezi tisa, haya mengine ni mambo za kawaida tu we utaogopaje kuteswa? Hivi kipengele cha uvumilivu nyie hakiwahusu? Afadhali ufe kuliko kuishi kama mtumwa. Yani mshana na story za kiganga zile bado waogopa kuteswa?
Mkuu siwezi kuwa ropokizi ww ni jinsia ke nn unaogopa kuteswa?Kauli kama hizi ndizo tunazosema mtu ameropoka.
Idiots vp mkuu...lazma ushirikishe ubongo wako vizur...hakuna anaejaribu kufanya Dunia iwe salama..
Mpaka Sasa matatzo tuliyoyapata yatokanayo na wanadam n mengi zaid kuliko faida...
Sent from my E2303 using JamiiForums mobile app
Muache aendelee kuropoka.Siogopi mateso naogopa mateso ya uonevu
Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha!!!Hakuna mateso ya halali yote ni uonevu kumtesa mtu kwa hali yeyote ni uonevu, be strong mzee kipind unateswa si unafanya tahajudi ya kutoka nje ya mwili au huwez apply hapo?
Najua utaona n ujinga kwa sababu ya mawazo ya watu weng kama ww...Siwez kukuijibu sababu umeonesha ujinga wako hadharan
Bashite damu anayomwaga itakutafuna mpaka wewe mwenyeji wake.Naongeza
Madili kutokwenda ipasavyo kati ya watu, na hivyo kuumizana kivyovyote. Wengine pia wakidhulumiana pesa etc