Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,494
- 12,466
- Thread starter
-
- #21
leo sikukuu mabeki tatu ruhusa ya kutoka wote wanaipata leo,so automatically guest lazima zijae
leo sikukuu mabeki tatu ruhusa ya kutoka wote wanaipata leo,so automatically guest lazima zijae
Kila "guest" ninayo enda hapa dar naambiwa vyumba vimejaa najiuliza kwa nini iwe leo tu tena siku ya "xmass".....???
Kila "guest" ninayo enda hapa dar naambiwa vyumba vimejaa najiuliza kwa nini iwe leo tu tena siku ya "xmass".....???
watu wa mjini wengi wetu tunakula vyakula vibovu ndio maana nguvu zinakuwa -1.tafuteni dawa za kuharisha kisha muanze kula matunda,unga usiokobolewa na kula samaki wabichi kisha mtasema wenyewe ila nyama nyekundu msipende kula ikiwezekana acha kabisa
we unafata nini huko gesti huna kwenu!!!!!!!!!!!!!
thats hw it is mwambie aende leo kama ataambiwa vyummba vimejaa mabeki tatu wamerudi kazinikweli inawezekana
ha ha ha......