figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,162
- 64,506
Nimeenda sehemu kunywa soup maeneo ya chang'ombe jijini dar es salaam, cha ajabu pale mapokezi nimeona kibao kimesha geuzwa. Kimoyo moyo nikasema leo kazi ipo. Na hii hali ya hewa ya kibaridi si mchezo.
Nawatakieni utamu mzuri. mia
mia je mko wangapi mia.
Acha huko dar yaani hapa a. Town ni zaidi watu walikuwa wamemisiana kwa sana nadhani kwani kila guest house pameandikwa 'hakuna nafasi' zaidi ya yote ktmt imeshaisha mabucha yote..
wewe mamndenyi kwani 100 anakuhusu nini mpaka umuulize swali la ki wivu wivu vile? Nitajinyonga na ile kamba iitwayo big g. Hivyo. Heri ya idd best wangu.
wageni si wametoka mikoani