vyumba tayari vimejaa!!

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,492
54,895
Nimeenda sehemu kunywa soup maeneo ya chang'ombe jijini dar es salaam, cha ajabu pale mapokezi nimeona kibao kimesha geuzwa. Kimoyo moyo nikasema leo kazi ipo. Na hii hali ya hewa ya kibaridi si mchezo.
Nawatakieni utamu mzuri. mia
 
ingawa uchamungu mtihani, katu Muislam hakubali kudhulumiwa na wasio waislam. Chezyea madhiwa weye!
 
Acha huko dar yaani hapa a. Town ni zaidi watu walikuwa wamemisiana kwa sana nadhani kwani kila guest house pameandikwa 'hakuna nafasi' zaidi ya yote ktmt imeshaisha mabucha yote..
 
Nimeenda sehemu kunywa soup maeneo ya chang'ombe jijini dar es salaam, cha ajabu pale mapokezi nimeona kibao kimesha geuzwa. Kimoyo moyo nikasema leo kazi ipo. Na hii hali ya hewa ya kibaridi si mchezo.
Nawatakieni utamu mzuri. mia

Mmh, mkuu kwani kuna nini leo, mbona sijakupata vizuri mkuu?
 
Back
Top Bottom