Vyumaa!! vyumaa!! Wanawake mtusamehee sana kwa hili..

Vyumaa!! vyumaa!! Wanawake mtusamehee sana kwa hili..

Msg za kutengeneza lazima flow isiwepo.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Swali.

Amejuaje ana kibamia kama ndio ombi amelikubali kwa sasa?
Huyu jamaa yawezekana alishapita na shost wa hyo dem na wakaambizana ana kibamia[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mapenzi kwangu mie ni kugegedana. Pesa ni Kama nilivyokwambia ulinzi. Huwezi kumgegeda mwanamke Bila kuwa na pesa...au wee papuchi yako watoa bure?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wee jamaa yangu huna confidence bhana,. Sasa mm honey/hubby wangu atanikulaje kwa pesa??..wanaoliwa kwa pesa hao ni wabangaizaji
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wee jamaa yangu huna confidence bhana,. Sasa mm honey/hubby wangu atanikulaje kwa pesa??..wanaoliwa kwa pesa hao ni wabangaizaji
Wee wether ameliwa na pesa au lah Cha msingi sii amegegedwa. Mbona mnataka complicate mambo.
 
Huh...naomba a real meaning of money & love please,..tusichanganye mambo,pengine sielewi naomba unijuze tafadhali
let m=money
L=Love
so
L=f[m], L=yM wheres y is constant (state of mind index) which means love is directly proportional to money.
when money increase love also increase and viceversa.
 
Kugegedana ni jambo lingine,.ambalo uwe na pesa uwe masikini kapuku utalihitaji tuu kama uko timamu huumwi mahali,.
Kulihitaji sawa ishu ni kupata hiyo papuchi pasipo kuwa na matumizi ya pesa....hicho ndio kitendawili.
 
Kugegedana ni jambo lingine,.ambalo uwe na pesa uwe masikini kapuku utalihitaji tuu kama uko timamu huumwi mahali,.
Wanawake na maneno yenu yakufaliji sana tofauti na uhalisia wanawake wenye upendo Wa kweli wapo wachache sana bongo hii watatu kwa kumi
 
Wanawake na maneno yenu yakufaliji sana tofauti na uhalisia wanawake wenye upendo Wa kweli wapo wachache sana bongo hii watatu kwa kumi
Hata ingekuwa wa3 kwa 1000 lakini si wapo??mm kama mumu sijifariji kama pesa hata mm najua kuitafuta na kuitumia vilevile,.upendo wa kweli upo na utaendelea kuwepo,.watu manajiharibu tuu fikara zenu,.aki zitawakosesha furaha ya kweli.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Swali.

Amejuaje ana kibamia kama ndio ombi amelikubali kwa sasa?

Alisikia kwa shosti zake
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Swali.

Amejuaje ana kibamia kama ndio ombi amelikubali kwa sasa?
Anaweza kuwa aliambiwa na wanawake wenzake ambao wameshawahi kutembea na huyo jamaa. Kwani ni ajabu huko mitaani kwetu watu kujua mambo ya ndani ya watu wengine? Flani anatembea na mtu fulani halafu anakwenda anawapa stori mabesti wake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom