Vyumaa!! vyumaa!! Wanawake mtusamehee sana kwa hili..

Sijaelewa,pesa inamlindaje she??
Pesa ni ulinzi meaning mwanamke anakuwa na uhakika kuwa atapata mahitaji yake ya msingi na pia watoto wake watelelwa Bila wasiwasi.

Jamani at tafiti zinaonyesha number one cause of marital problems ni kukosekana kwa pesa ndani ya nyumba.

Mara watoto waerudishwa toka shule Mara unashindwa hudumka mama mkwe anaeumwa...vitu Kama hivyo.
 
Sawa,.lakini hayo ni matumizi ya pesa na sio mapenzi..halafu unaweza kuwa na pesa na ukakosa ulinzi vilevile,
 
Ndio ulinzi wenyewe Huo wee unataka ulinzi wa bunduki!? Sasa Kama unakubali ni matumizi ya pesa hivyo umuhimu wake unauona Sasa kwenye mapenzi.
 
Kwani pesa ni nini na mapenzi ni nini??
Mapenzi kwangu mie ni kugegedana. Pesa ni Kama nilivyokwambia ulinzi. Huwezi kumgegeda mwanamke Bila kuwa na pesa...au wee papuchi yako watoa bure?
 
Back
Top Bottom