Vyombo vya Habari mnaliangamiza taifa letu

Vyombo vya Habari mnaliangamiza taifa letu

HIMLER

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
429
Reaction score
227
Mimi binafsi kwa muda mrefu kiasi nimeviona vyombo vingivya habari vikiwa mstari wa mbele kureport habari mbazo hazijafanyiwa upembuzi wa kina nakuishia kuripoti habari nakuitoa kama ilivyo bila kuifanyia analysis nakujua kwamba mtoaji wa mada alikua anapotosha umma au laa wamekua wakituhabarisha kiushabiki rai yangu watanzania tuwe makini navyombo vyetu vya habari
 
Wee adi leo unaangalia TBC ya nini ifute kabisa kwenye kingamuzi cha na magazeti ya uhuru achana nayo!
 
Wee adi leo unaangalia TBC ya nini ifute kabisa kwenye kingamuzi cha na magazeti ya uhuru achana nayo!

Kweli Maradhi mengine hayana tiba. Kama Leo TBC inatafsiliwa kama 'Vyombo vingi vya habari' kama ilivyowekwa na mtoa mada, basi hakuna wakukutibu acha ujifie tu.
 
Jamani msiangalie tu taarifa za habari angalieni na vipindi vinavyokaribisha wageni.... samahani mtoa mada kama unasoma tu magazeti.... go deep and come with a real reason.... ukiangalia kama TUONGEE ASUBUHU YA STAR TV au ITV wanvyoongea na wageni wao hutasema huo upumbavu..... chukua maarifa kabla hujatapika
 
Kweli Maradhi mengine hayana tiba. Kama Leo TBC inatafsiliwa kama 'Vyombo vingi vya habari' kama ilivyowekwa na mtoa mada, basi hakuna wakukutibu acha ujifie tu.

me siyo mtu wa pimasho kama viongozi wako wa ccm ujumbe umefika:embarassed2:
 
Jamani msiangalie tu taarifa za habari angalieni na vipindi vinavyokaribisha wageni.... samahani mtoa mada kama unasoma tu magazeti.... go deep and come with a real reason.... ukiangalia kama TUONGEE ASUBUHU YA STAR TV au ITV wanvyoongea na wageni wao hutasema huo upumbavu..... chukua maarifa kabla hujatapika

Matusi ya nini, sasaneno upumbavu umetumia la nini? Mwenzio katoa wazo, just respond without character assassination
 
TBC italipeleka taifa hili la Tanzania kwenye machafuko,maana inachofanya ni kutangaza habari zinazowakandamiza wananchi tu,na za waviongozi wa ccm na serikali wanaotaka serikali mbili, hivi tbc hamna aibu mnavyosemwa kwenye mitandao ya jamii?au kwenu ni sifa ili viongozi waone dhairi mnavyopendelea upande mmoja? lakini kumbukeni kwa kufanya hivyo mnaliangamiza taifa jirekebisheni
 
Chukua tahadhari na TBC1 & 2, Chan 10, Gazeti la Uhuru na Habari leo vinginevyo utapata kansa ya akili na mtindio wa ubongo
 
Hata huku iringa eborn fm tuliokuwa tunaitegemea sasa imegeuka tawi la ccm ndio maana mbunge msigwa humsikii tena eborn ananunua muda nuru fm ili kuongea na wananchi
 
Back
Top Bottom