Vyombo vya habari haviutendei haki UKAWA

Raia Fulani

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2009
Posts
11,866
Reaction score
4,261
Tangu majuzi nafuatilia media za hapa nchini, iwe televisheni au magazeti. Habari zilizotamalaki ni za CCM zaidi kwa upande wa chanya. Kwamba ccm wametoa ahadi hizi, Magufuli awakosha wananchi wa sehemu fulani, wanaccm wafurika mikutano ya Magufuli, Pinda sijui kafanya nini, n.k. Alimradi tu habari njema za ccm zinatamalaki.

Kwa upande wa pili unasikia NCCR wajitoa UKAWA, wanachadema wakamatwa Bukoba kwa maandamano, fujo zatawala mikutano ya UKAWA, Lowassa kabanwa, n.k.

SAsa kiukweli kwa wanaofuatilia vyombo vya habari tu wanapotoka mno! Hivi vyombo vinaipendelea sana ccm na serikali yake. Tafadhali UKAWA, hizi propaganda za media kweli itafika hatua zitawachafua. Hamna jema linalozungumziwa la UKAWA zaidi ya kulikuta kwenye gazeti la Tanzania DAima. Lifanyike jambo tafadhali. Media haiko upande wa mabadiliko. Yafanyieni kazi haya.
 
tangu majuzi nafuatilia media za hapa nchini, iwe televisheni au magazeti. Habari zilizotamalaki ni za ccm zaidi kwa upande wa chanya. Kwamba ccm wametoa ahadi hizi, magufuli awakosha wananchi wa sehemu fulani, wanaccm wafurika mikutano ya magufuli, pinda sijui kafanya nini, n.k. Alimradi tu habari njema za ccm zinatamalaki.

Kwa upande wa pili unasikia nccr wajitoa ukawa, wanachadema wakamatwa bukoba kwa maandamano, fujo zatawala mikutano ya ukawa, lowassa kabanwa, n.k.

Sasa kiukweli kwa wanaofuatilia vyombo vya habari tu wanapotoka mno! Hivi vyombo vinaipendelea sana ccm na serikali yake. Tafadhali ukawa, hizi propaganda za media kweli itafika hatua zitawachafua. Hamna jema linalozungumziwa la ukawa zaidi ya kulikuta kwenye gazeti la tanzania daima. Lifanyike jambo tafadhali. Media haiko upande wa mabadiliko. Yafanyieni kazi haya.
hakuna anayeweza kuyazuia mafuliko kwa mikono
 
Ukawa inanuka mkuu hawafai kwa lolote.
 
Siyo issue Mwanza mabango ya Lowasa na Wenje ccm wamechana yote but kichapo cha haja kiko palepale tu
 
Usijali mkuu, wanamabadiliko wataitendea haki oct 25
 
ujue tusiwe tunashabikia na kuona kila kitu kwenu ni kibaya.mfano juzi juzi mkutano wa lowassa ulivohairishwa pale geita ulitaka kesho yake magazeti yaandike nini cha kuisifia ukawa?mbatia alivoita press conference kumjibu slaa magazeti waliandika hawakuandika?niambie gazet gani leo front page wameweka habari za ccm pekee?au gazeti gani liliandika tofauti na ukawa walichosema?hivi kwanin nyie mnapenda habari nzuri tu za kwenu ndo ziandikwe na kutangazwa lakini zinazowachukiza au mbaya hampendi zitangazwe?mbona ccm kesi za kura za maoni,ugomvi uliokuwa unaendelea ulikuwa unatangazwa na kuandikwa na hakuna mwanaccm aliyelalamika?iweje nyie tu?lowassa alivotangaza kuhamia chadema wiki nzima habari za ccm zilifunikwa kwa muda,iweje leo kijipress conference cha viongozi wa nccr kuachia ngazi,kutangazwa kwake muhisi mnaonewa?mlitaka waandike nini au watangaze nini?
 
Wewe huna jipya. Nenda Lumumba kachukue buku 7
 
Tangu majuzi nafuatilia media za hapa nchini, iwe televisheni au magazeti. Habari zilizotamalaki ni za CCM zaidi kwa upande wa chanya. Kwamba ccm wametoa ahadi hizi, Magufuli awakosha wananchi wa sehemu fulani, wanaccm wafurika mikutano ya Magufuli, Pinda sijui kafanya nini, n.k. Alimradi tu habari njema za ccm zinatamalaki.

Kwa upande wa pili unasikia NCCR wajitoa UKAWA, wanachadema wakamatwa Bukoba kwa maandamano, fujo zatawala mikutano ya UKAWA, Lowassa kabanwa, n.k.

SAsa kiukweli kwa wanaofuatilia vyombo vya habari tu wanapotoka mno! Hivi vyombo vinaipendelea sana ccm na serikali yake. Tafadhali UKAWA, hizi propaganda za media kweli itafika hatua zitawachafua. Hamna jema linalozungumziwa la UKAWA zaidi ya kulikuta kwenye gazeti la Tanzania DAima. Lifanyike jambo tafadhali. Media haiko upande wa mabadiliko. Yafanyieni kazi haya.

Chadema hampendi ukweli ndio maana hamtapewa nchi mtatuharibia.mnalazimisha habari mnazotaka kusikia ninyi tu.mkipewa nchi mtakua madikteta tu.
 
Nilishasema hawa jamaa ni manunda wala hawajui vyombo vya habari ndio vimeshika mustakabali wa atakayeshinda wao wako bize na mafuriko hawajui mafuriko makubwa zaidi yanaangalia vyombo vya habari. Hawataki hata kununua air time wakapitisha vipande vya hotuba zao au kuchukua vipindi maalum kuelewesha jamii na kufikia watu wengi zaidi ambao hawana muda wa kwenda kwenye mafuriko. Wenzao wapo bize na vyombo vya habari, wanamwaga hela, wanavuruga upinzani usiku na mchana na watashinda; jamaa watalia kilio cha mbweha siku ya kutangazwa matokeo
 
Ukweli ni kwamba ccm wanashambulia mno na kwa rafu zote. Hatimaye wakifika golini na kwa rafu hizo ndio unakuta na goli la mkono linapatikana hapo. Siwasifu ccm kwa lolote ila nawatahadharisha tu wanabamadiliko. Kama usemavyo, wakitegemea mafuriko watayaona kweli.
 
Chadema hampendi ukweli ndio maana hamtapewa nchi mtatuharibia.mnalazimisha habari mnazotaka kusikia ninyi tu.mkipewa nchi mtakua madikteta tu.
Ukweli mnaujua nyie. KWamba Saddam alikuwa rais wa Kuwait
 
Wewe Mwenye Jipya Upo Wap?Ukweli Unauma Lakini Hauna Budi Kusemwa Tu,acheni Kulalama Mpaka Sasa Hivi Karibia Vituo Vyote Mshavitukana Kwa Sababu Za Kijingakijinga Tu.....

Mwaka huu mmeshikwa pabaya. Mwizi hachomoki mwaka huu. Mlizoea vya kunyonga, vya kuchinja hamviwezi
 
Mbona Chadema inatoa hata majimbo kwa CUF ambayo ina uhakika wa kushinda? Kama segerea mbona wamewapa CUF? Jamani acheni ushetani huko Mtama
 
Back
Top Bottom