Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 11,866
- 4,261
- Thread starter
- #41
sasa kama nyie mnavinjio hata sisi tunavo na zaidi sisi tunawachinjaji wenyewe sio wa kukodi...politics ni propaganda kutumia slogan zenu ni propaganda kuwachanganya tu...
Haohao wa kukodi wanajua wanajua mnachinjikaje. Kila siku nanyi si mnatafuta mamluki kwenye upinzani? mbinu za kupata mamluki zinawashinda na sasa mmevamia slogan. pamoja na kwamba nalalamika media hazitutendei haki, nashukuru watu kama magufuli na timu yake wanainadi ukawa, japo hamtachomoka kwani mna kesi ya kujibu