Vyombo vya habari haviutendei haki UKAWA

Tangu majuzi nafuatilia media za hapa nchini, iwe televisheni au magazeti. Habari zilizotamalaki ni za CCM zaidi kwa upande wa chanya. Kwamba ccm wametoa ahadi hizi, Magufuli awakosha wananchi wa sehemu fulani, wanaccm wafurika mikutano ya Magufuli, Pinda sijui kafanya nini, n.k. Alimradi tu habari njema za ccm zinatamalaki.

Kwa upande wa pili unasikia NCCR wajitoa UKAWA, wanachadema wakamatwa Bukoba kwa maandamano, fujo zatawala mikutano ya UKAWA, Lowassa kabanwa, n.k.

SAsa kiukweli kwa wanaofuatilia vyombo vya habari tu wanapotoka mno! Hivi vyombo vinaipendelea sana ccm na serikali yake. Tafadhali UKAWA, hizi propaganda za media kweli itafika hatua zitawachafua. Hamna jema linalozungumziwa la UKAWA zaidi ya kulikuta kwenye gazeti la Tanzania DAima. Lifanyike jambo tafadhali. Media haiko upande wa mabadiliko. Yafanyieni kazi haya.

Hiyo ndio hali halisi
 
Mwaka huu mmeshikwa pabaya. Mwizi hachomoki mwaka huu. Mlizoea vya kunyonga, vya kuchinja hamviwezi

pole sana mkuu,ccm ni kubwa ni zaidi ya uijuavyo.inawatu na mbinu nyingi zaidi unavofikiria.kama watu wakuchinja tunao watu wa kunyoa tunao tena kwa style zote,watu wa kunyonga wapo wakutosha...mnavosema tumeshikwa pabaya lakini anayelalamika ni wewe kila siku sasa hapo nani kashikwa pabaya?
 
Duh! hii laana. ICC inawaita
 
Duh! hii laana. ICC inawaita

hahahah dont threaten anyone,icc has nothing to do with us,we know what we are doing!if you think your complaints will take us their,i feel so sorry for you,icc it doesnt go like that and will never be like that....endeleeni kulalamika cause thats how your leaders taught you and thats how they are...
 
Umesomea wapi hii hii lugha? Andika kiswahili tafadhari

then do it better. mkinyonga nanyi mtanyongwa. mkichinja nanyi mtachinjwa

Mkuu Kumbe Haukujua Hata Kwanini Nilicomment Vile Juu Ya Kunyonga Na Kuchinja Hembu Rudi Angalia Mwenzako Alivokuwa Anamaanisha Na Ndivo Nilivomaanisha Katika Majibu Niliyompa
 
Umesomea wapi hii hii lugha? Andika kiswahili tafadhari

oh asante mkuu kwa ushauri wako hata mimi siyo lugha yangu najifunza,naomba unirekebishe nilipokosea mkuu!!hii ni worldwide language msaada wako kwangu niwamuhimu nikosoe nilipokosea nijifunze zaid..
 
Mkuu Kumbe Haukujua Hata Kwanini Nilicomment Vile Juu Ya Kunyonga Na Kuchinja Hembu Rudi Angalia Mwenzako Alivokuwa Anamaanisha Na Ndivo Nilivomaanisha Katika Majibu Niliyompa

Nimekuelewa sana kwa ukauzu uliotumia. Hata sie tuna vichinjio. Andaeni tu mashingo yenu. ila mwambieni makufuli aachane na slogan za kiukawa. zitamtokea masikioni. ana timu ya kutosha awatumie hao
 
sasa kama nyie mnavinjio hata sisi tunavo na zaidi sisi tunawachinjaji wenyewe sio wa kukodi...politics ni propaganda kutumia slogan zenu ni propaganda kuwachanganya tu...
 
pole sana mkuu,ccm ni kubwa ni zaidi ya uijuavyo.inawatu na mbinu nyingi zaidi unavofikiria.kama watu wakuchinja tunao watu wa kunyoa tunao tena kwa style zote,watu wa kunyonga wapo wakutosha...mnavosema tumeshikwa pabaya lakini anayelalamika ni wewe kila siku sasa hapo nani kashikwa pabaya?

Mwaka huu mwivi hachomoki. Nitafute baada ya October 25th. Sina haja ya kubishana na watu wanaoishi karne ya dark ages. Huu mwaka ndio mwisho wa CCM. Km umezoea mazoea huu ndio mwisho wako. Utaona kilichomtoa nyoka pangoni. System unayosema ndio sisi wenyewe
 
siku zote huwezi kukimbilia na kufanikiwa kuweka bati kabla hujaweka hata msingi..chadema mmeshindwa kuweka msingi mnakimbilia kuweka bati mtaweka wapi?kwenye nyumba gani wakati hata msingi hamna?
 
ujue tusiwe tunashabikia na kuona kila kitu kwenu ni kibaya.mfano juzi juzi mkutano wa lowassa ulivohairishwa pale geita ulitaka kesho yake magazeti yaandike nini cha kuisifia ukawa?mbatia alivoita press conference kumjibu slaa magazeti waliandika hawakuandika?niambie gazet gani leo front page wameweka habari za ccm pekee?au gazeti gani liliandika tofauti na ukawa walichosema?hivi kwanin nyie mnapenda habari nzuri tu za kwenu ndo ziandikwe na kutangazwa lakini zinazowachukiza au mbaya hampendi zitangazwe?mbona ccm kesi za kura za maoni,ugomvi uliokuwa unaendelea ulikuwa unatangazwa na kuandikwa na hakuna mwanaccm aliyelalamika?iweje nyie tu?lowassa alivotangaza kuhamia chadema wiki nzima habari za ccm zilifunikwa kwa muda,iweje leo kijipress conference cha viongozi wa nccr kuachia ngazi,kutangazwa kwake muhisi mnaonewa?mlitaka waandike nini au watangaze nini?

Siasa si ugomvi lakini nyie munaiweka kama ugomvi elimikeni.
 
siku zote huwezi kukimbilia na kufanikiwa kuweka bati kabla hujaweka hata msingi..chadema mmeshindwa kuweka msingi mnakimbilia kuweka bati mtaweka wapi?kwenye nyumba gani wakati hata msingi hamna?

Mimi sio CHADEMA. Waambie waliokutuma kuwa wamechemka. Utaona kilichomtoa nyoka pangoni mwake mwaka huu. Ulizoea vya kunyonga mwaka huu unachinjwa kihalali. Mambo ya CHADEMA hayanihusu mimi
 
Tangu majuzi nafuatilia media za hapa nchini, iwe televisheni au magazeti. Habari zilizotamalaki ni za CCM zaidi kwa upande wa chanya. Kwamba ccm wametoa ahadi hizi, Magufuli awakosha wananchi wa sehemu fulani, wanaccm wafurika mikutano ya Magufuli, Pinda sijui kafanya nini, n.k. Alimradi tu habari njema za ccm zinatamalaki.

Kwa upande wa pili unasikia NCCR wajitoa UKAWA, wanachadema wakamatwa Bukoba kwa maandamano, fujo zatawala mikutano ya UKAWA, Lowassa kabanwa, n.k.

SAsa kiukweli kwa wanaofuatilia vyombo vya habari tu wanapotoka mno! Hivi vyombo vinaipendelea sana ccm na serikali yake. Tafadhali UKAWA, hizi propaganda za media kweli itafika hatua zitawachafua. Hamna jema linalozungumziwa la UKAWA zaidi ya kulikuta kwenye gazeti la Tanzania DAima. Lifanyike jambo tafadhali. Media haiko upande wa mabadiliko. Yafanyieni kazi haya.

Uko sawa
 
Chadema hampendi ukweli ndio maana hamtapewa nchi mtatuharibia.mnalazimisha habari mnazotaka kusikia ninyi tu.mkipewa nchi mtakua madikteta tu.

ww ndo unatoa nchi kwa chadema
 
Tangu majuzi nafuatilia media za hapa nchini, iwe televisheni au magazeti. Habari zilizotamalaki ni za CCM zaidi kwa upande wa chanya. Kwamba ccm wametoa ahadi hizi, Magufuli awakosha wananchi wa sehemu fulani, wanaccm wafurika mikutano ya Magufuli, Pinda sijui kafanya nini, n.k. Alimradi tu habari njema za ccm zinatamalaki.

Kwa upande wa pili unasikia NCCR wajitoa UKAWA, wanachadema wakamatwa Bukoba kwa maandamano, fujo zatawala mikutano ya UKAWA, Lowassa kabanwa, n.k.

SAsa kiukweli kwa wanaofuatilia vyombo vya habari tu wanapotoka mno! Hivi vyombo vinaipendelea sana ccm na serikali yake. Tafadhali UKAWA, hizi propaganda za media kweli itafika hatua zitawachafua. Hamna jema linalozungumziwa la UKAWA zaidi ya kulikuta kwenye gazeti la Tanzania DAima. Lifanyike jambo tafadhali. Media haiko upande wa mabadiliko. Yafanyieni kazi haya.

Kitu usichokujua ni sawa na usiku wa giza, ukiwa muda wote unafikiria UKAWA atimaye utakua chizi, asilimia kubwa ya magazeti yapo chini ya ukawa, ns ndo maana ubovu wa mgombea wa ukawa hausemwi sana kwenye magazeti, sitegemei mtu kamaKubenea leo amseme vibsya Lowasa, lakini wakati ule ulimtolea maneno mengi sana, lakini pia kwa pesa aliyonayo mgombea wa ukawa anaweza kufanya live mikutano yake mingi, ww unalalamika wao wanajisikia freshi kabisa, kwani wakifanya live mtaipata aibu yenu, huwezi kufanya live wakati unaongea dk3 muda mwingine huwezi hata kuongea. Kwa hiyo kwao ni jambo jema, ili watz wengi wasifuatilie sana, ila kwa ww ambae hujui ndo unauzunika. POLE SANA!
 
Back
Top Bottom