Vyeti vyangu feki nifanyeje?

Vyeti vyangu feki nifanyeje?

Hi to everybody, tafadhali kichwa cha uzi kinajieleza. Katika uhakiki wa kwanza nilipona sikugundulika kama nina vyeti feki.

Nimesikia uhakiki unarudiwa upya, je nifanyeje?? Ofisi naiona chungu sina amani moyoni.
wahi darasani elimu ni bure ndugu yangu!
 
Kama unavigezo nlikuwa natafta mke itabidi tu ukubali nikuoe kama ni wa kiume wewe pambana na hali yako tu
 
Taarifa kama hizi ndizo zinazosababisha wamiliki wa jf kukamatwa ili wajue wew ni nani hasa taarifa zako zifanyiwe kazi kwa usalma wa taifa letu
 
Ukiwa job anguka jifanye umepoteza fahamu ukipelekwa hospital zinduka halafu uwe ndio mtindo wako hadi uhakiki upite
 
Kopa hela nyingi fanyia mambo yako wakija kukutumbua uwe umewakomoa
 
Hi to everybody, tafadhali kichwa cha uzi kinajieleza. Katika uhakiki wa kwanza nilipona sikugundulika kama nina vyeti feki.

Nimesikia uhakiki unarudiwa upya, je nifanyeje?? Ofisi naiona chungu sina amani moyoni.
kwa ivo lengo lako ni kuiarifu serikali kuwa bado kuna vyeti feki ili uhakiki usiishe wa watumish waendelee kunyimwa haki zao, maana hilo ndilo lengo lako kuu ,wewe wala huna vyeti feki ila una wivu tu.
 
mara ya kwanda ukaguzi ulikuwa ni kwa ajili ya vyeti vya FIV na FVI.....ukaguzi mpya ni wa vyeti vya taaluma mf: uuguzi, ualimu, maabara, nk.....huko ndio ulipo uozo hasa! Bora Yesu arudi kesho tu tuakajiselfie mbinguni maana duniani hasa Tz hakufai kabisa!
 
kwa ivo lengo lako ni kuiarifu serikali kuwa bado kuna vyeti feki ili uhakiki usiishe wa watumish waendelee kunyimwa haki zao, maana hilo ndilo lengo lako kuu ,wewe wala huna vyeti feki ila una wivu tu.
shukrani mkuu
 
Hi to everybody, tafadhali kichwa cha uzi kinajieleza. Katika uhakiki wa kwanza nilipona sikugundulika kama nina vyeti feki.

Nimesikia uhakiki unarudiwa upya, je nifanyeje?? Ofisi naiona chungu sina amani moyoni.
Mara nyingi watu hupenda kuwashia Jiko la Mkaa kwa kutumia makaratasi. Vinaweza kufaa sana kwenye hiyo kazi
 
Hi to everybody, tafadhali kichwa cha uzi kinajieleza. Katika uhakiki wa kwanza nilipona sikugundulika kama nina vyeti feki.

Nimesikia uhakiki unarudiwa upya, je nifanyeje?? Ofisi naiona chungu sina amani moyoni.
Mfuate mzee wa vijisenti Chenge akupeleke gamboshi huko vyeti vyako vitaonekana siyo feki.
 
Back
Top Bottom