Vyeti Vinahitajika

Vyeti Vinahitajika

Sasa hapa mzee si kesi hii ya kugushi vyeti, we vyeti vya mtu nini...
Kununua sio kesi, na ni nani kakwambia tutagushi, hujajua hata matumizi yake, unakombilia kusema ni kesi. Kwa dunia tunayoishi hivi sasa, kama wewe hutafanya kitu, someone else will. Wewe endelea kusali na kuogopa kutenda dhambi.
 
Mkuu unadhani waliosema usimwage mchele kwenye Kuku wengi walikuwa wanamaanisha nini ?; Sasa hapo mtu atakayekuja DM unajuaje kama ni mnunuzi au askari Kanzu ?

Ushauri wa bure sio tu kwamba unachofanya sio sahihi hata njia unayotumia sio sahihi
 
Kitendo tu cha kutaka cheti cha mtu ni uhalifu
 
Njoo nikuuzie vya kwangu. Ila utalazimika kila siku kupaka chokaa kichwani ili tu uonekane una mvi kama hizi za kwangu. Kwa sababu vimepatikana miaka mingi iliyopita.
 
Njoo nikuuzie vya kwangu. Ila utalazimika kila siku kupaka chokaa kichwani ili tu uonekane una mvi kama hizi za kwangu. Kwa sababu vimepatikana miaka mingi iliyopita
😎
 
Back
Top Bottom