Vyeti vilinifanya nikawa inferior | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vyeti vilinifanya nikawa inferior

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Lastname, Apr 18, 2012.

 1. Lastname

  Lastname JF-Expert Member

  #1
  Apr 18, 2012
  Joined: Feb 23, 2012
  Messages: 925
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Nilidhani kuwa na vyeti ndio mwanzo mwisho, kumbe dunia ilinigeuza vibaya. Niliogopa hata kuitwa Dr (phd holder) katika some instances kwa sababu nili attract attentions za watu na kubadili matarajio yao toka kwangu, lakini sikuwa na uwezo wa kuonyesha naweza niliongea vitu ambavyo kila mtu anajua, sikuwa na jipya. Naogopa ninapokuwa na vijana ambao ni bachelor holder ambao wapo proactive kuliko mimi, naogopa kungea english kwa sababu ni mbaya sana haivutii ukiisikiliza pia naogopa kuongea kiswahili kwa sababu watu wengi wapo competent kwenye kiswahili hivyo maswali yanakuwa mengi ya kiuhalisia siwezi jibu. ‘Wishes of my friend” akamalizia hivi ningejua ningekazana na jambo moja niweze ku-deliver kuliko kukimbilia vyeti.

  Mshaurini wa jf.
   
 2. C

  Cupid 50mg Member

  #2
  Apr 18, 2012
  Joined: Feb 8, 2012
  Messages: 66
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mh mh haujaeleka mkuu!!.
   
 3. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #3
  Apr 18, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,029
  Likes Received: 867
  Trophy Points: 280
  Ashauriwe nin sasa?
   
 4. Lastname

  Lastname JF-Expert Member

  #4
  Apr 18, 2012
  Joined: Feb 23, 2012
  Messages: 925
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Rafiki yangu kwa kifupi alijaza vyeti na titlle sasa anaviogopa kwa sababu hayuko competent kikazi
   
 5. M

  Mukalunyoisa Senior Member

  #5
  Apr 18, 2012
  Joined: Mar 16, 2012
  Messages: 139
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  nina ndugu yangu amesona uingereza yuko hapa tz na vyeti kibao lakini hakuna kitu kabisa anaweza kudeliver. nimeona hata ofisini kwangu watu wana mivyeti inatisha lakini??/ balaa tupu??
   
 6. Lastname

  Lastname JF-Expert Member

  #6
  Apr 18, 2012
  Joined: Feb 23, 2012
  Messages: 925
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Wafanye nini sasa, mimi nilimwambia chagua ukipendacho kufa nacho mpaka uwe comppetent
   
 7. l

  lugano5 JF-Expert Member

  #7
  Apr 18, 2012
  Joined: Jul 15, 2010
  Messages: 4,342
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 5
  aisee umetutisha mkuu,
   
 8. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #8
  Apr 18, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,984
  Likes Received: 1,899
  Trophy Points: 280
  Mwana Jf, kwanza pole sana kwa fikra hizi ambazo tulikaririshwa na waliotutangulia. ukweli ni kwamba watu tulio wengi huwa tunajua kuwa na vyeti vingi vilivyonakishiwa na maneno kama merit,excellent, first class ni basi. au tukiwa na prefix zinazotangulia majina au vyeo vyetu kama Dr. ms imetosha. Maisha hayako hivyo.kwenye jamii unayotakiwa kuishi kinachokutambulisha wewe ni uwajibikaji bora na uelewa mzuri wa mambo. kitu ambacho hakuna anayepewa phd au ms kwa kuwa navyo. hivi unatakiwa uwe navyo wewe mwenyewe kama mtu. elimu ya shule inakupa uwezo tu kupambanua mambo bali elimu ya uelew unaipata kwa bidii zako binafsi mathalan kwa kupenda kusikiliza wengine wanapoongea, kusoma vitabu, magazeti na hata kupenda kuandika.

  mfano mzuri kuna mtu anaweza kusema kwanini niingie Jf lakini akawa amesahu kuwa hata kuweza kujiregister tu na mod akakujibu amefuta ujinga fulani akilini mwake, au pia akasahau kuwa kujadili hoja humu kunahitaji uwe na facts na uwe unayeweza kupangilia mawazo yako. Mara nyingine kupenda kukaa na watu wana jadili mambo tofauti tofauti yenye mantiki kunaongeza uelewa na unapochangia mada zao unajipa ujasiri nafsini mwako.

  pia kuna kitu ambacho kimejengeka miongooni mwa wasomi wengi nacho ni kuwa na hofu na usomi wao, ukitaka kuamni kuwa usomi wako ni kitu kizuri basi utumie katika kujadili mada zilizoko ndani ya elimu yako, na siri moja nikupe siku zote tafuta reference ya vitu unavyovijua ambavyo utaweza kuvitetea. kamwe usilogwe kuongelea kitu ambacho huna reference yake nzuri, ukifanya hivyo itakupunguzia nafasi yako ya kuitetea point yako na mwisho ukajiona kama hujui mambo.

  iwapo mada inayoongelewa siyo ndani ya uwanja wako wa kujidai basi hapo wewe penda kuuliza maswali zaid, na kusikiliza na hakikisha kuwa kila swali unaloliuliza linajenga kitu katika ufaham wako.kamwe usidharau hata kama anayeongea anaonekana kama vile siyo muelewa sana lakini ata kuongezea ufahamu kwenye fikra zako.

  tabia ya kusoma nayo ni nzuri sana, soma as much as possible as you can. ukiona unaboreka sana tafuta mada kwenye jamvi zisome kwa makini kisha changia kwa kufuata lead(sijui kama unanielewa vizuri) ila kama hutanielewa sema nikueleweshe zaidi. sikiliza na angalia tv kwa ajili ya kujipa exposure. hapa utajifunza namna ya kuongea mbele za watu na jinsi unavyotakiwa kuongea. Watu wengi huwa hawajui kutofautisha namna ya kuongea na watu tofauti. Mathalani unavyoongea na marafiki, ni tofauti na classmate au na mtu anayetaka kujua jambo fulani na pia ni tofauti na unavyoongea na bosi wako au mteja au hata kiongozi wako. sasa yakupasa uue kundi unaloongea nalo kwa wakati huo ni lipi na unaongea nalo kitu gani. haya ukiyajua utajua uongee vipi kwa mahadhi gani.

  kuhusu Lugha huo ni ugonjwa but one thing which i trust in shaping grammer is reading. read as much as possible as you can. read not only academic materials but also novels journals andmagazines anad news papers. while reading try to practice it do not hesitate and while doing it accept corrections. a single correction from a knowledgable person will prevent you from hundred mistakes. do not feel that you are humiliated when others are correcting you.

  kama wewe ni mwaji wa kahawa au chai ya jioni basi nenda kapate katika mgahawa ambao utakutana na watu wanaojadili mada zitakazo kujenga kiakili. na uwapo hapo wewe uwe msikilizaji na muuliza maswali zaid kuliko kuwa masemaji.

  Usiogope unapokosea hata kidogo kwani katika maisha mimi huwa ninaiambia nafsi yangu kwamba kila siku mimi huwa nina kosea sana au huwa nina tenda makosa mengi lakin pia kila siku huwa najifunza jambo jipya. na huwa kila ninachojifunza kinanikuza kiakili. changamoto ni lazima katika maisha usiziogope ila fungua akili yako na kuanza kutafuta maarifa ya uhalisia zaid kuliko yale ya kinadharia uliyoyapata ulipokuwepo shule.

  usione kama ulikosea kusoma lahasha ila tu ulisoma kinadharia zaid kuliko kivitendo jambo ambalo hukuweza kuelewa mambo ya mtaani yakoje. Nafikiri ulipokuwa shule hukujua kuwa huku mtaani unaweza ukawa unakaa na watu ambao hata shule hawajaenda lakin wana heshima kuliko wewe na elimu yako.
   
 9. Lastname

  Lastname JF-Expert Member

  #9
  Apr 18, 2012
  Joined: Feb 23, 2012
  Messages: 925
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Ushauri umeenda shule, thanks
   
 10. Good Guy

  Good Guy JF-Expert Member

  #10
  Apr 18, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 4,511
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  De javu!! I 2 thnk i'm facing the problem to some extent! Being a holder of best academic achievement in nursery,primary education n receiving best student in 2 out of 3 subjects in my advanced education + best overall performance n more i fell i can't deliver what the society xpects from me!!
   
 11. Kyalow

  Kyalow JF-Expert Member

  #11
  Apr 19, 2012
  Joined: Mar 6, 2011
  Messages: 2,119
  Likes Received: 818
  Trophy Points: 280
  Ahsante mdada....somo limetugusa wengi,Mungu akubariki!!
   
 12. Bosco Ntaganda

  Bosco Ntaganda JF-Expert Member

  #12
  Apr 19, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 551
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  mhh, kaka sijui dada? umeongea sana bwana, na nikweli tupu
   
 13. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #13
  Apr 19, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,984
  Likes Received: 1,899
  Trophy Points: 280
  amen na wewe pia mpendwa
   
 14. Salanga

  Salanga JF-Expert Member

  #14
  Apr 19, 2012
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 375
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Namshukuru Mungu amenipa muda wa kujinoa kabla ya kuingia kwenye mapambano.Hii hali nilianza kuiona Kibaha ,wakati huo kama PCB DENT.

  I hope during summer will be able to share something with u friends.
   
 15. Matope

  Matope JF-Expert Member

  #15
  Apr 19, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 539
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33


  Umemaliza kila kitu!
   
 16. S

  SokoroDar Member

  #16
  Apr 19, 2012
  Joined: Nov 16, 2011
  Messages: 39
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Asijali sana ni title tu kama DR. Kikwete
   
 17. Good Guy

  Good Guy JF-Expert Member

  #17
  Apr 19, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 4,511
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Gfsonwin thanx alot! True words from a true great thinker
   
 18. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #18
  Apr 19, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,984
  Likes Received: 1,899
  Trophy Points: 280
  thanks for appreciation
   
Loading...