Vyeti muhimu kuverify ajirapotal

achana na hawa mawakili watakupiga, Nenda mahakama yoyote ya Mwanzo asubuhi sana (kabla hawajaanza kusikiliza mashauri) toa nakala zako zote unazohitaji kucertify bila kujali ni ngapi kisha wape na elfu kumi. Watakusaidia kucertify bila bugudha. Kwa shida yoyote ya kucertify nenda Mahakamani kule watakusaidia kwa bei nafuu
 
Utaratibu ndio huo Ni 20,000/- kwa copy 1, na pia mahakama wanatakiwa wafanye 20,000 kwa copy moja.
Hii bei ya 20K nakumbuka ni kwa ajili ya vyeti vya wafanyakazi.

Vya wanafunzi ukienda mahakamani unacertify kwa 5000.

Ukienda kwa wakili uraiani anasema 20K per cheti na ni muongozo rasmi wa serikali.

So upo sahihi unachokisema ila kwa 5K unaweza kucertify pia. Mimi nilikua mkoa fulani nje ya Dar nikacertify vyeti vyote kwa 10K kwa wakili
 
Kama hujaverify bado unaweza nicheki mkuu
 
mkuu unaweza kunisaidia namba ya huyo mtu wa mahakama nataka ku certify vyeti vyangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…