Vyeti muhimu kuverify ajirapotal

Ku Verify nenda hapo TCU faster
 
-katiba haiwezi kutaja gharama kuthibitisha nyaraka ww Ni kiazi hujui hata katiba
-nenda posta nimefanya Kazi kwenye lawfirm Kama accountant nimeona Mawakili wanapiga muhuri kwa 20,000 percopy
-mawakili wenye mihuri wako kibao ww mbona huna?
 
Achen mbwembwe Kuna watu kibao wameamliza law school na bado wapo mtaani ukimpa hyo book tano ana certify vyote....achen ujinga wa kuwafata mawakili wakubwa wafanye hyo kazi

Sent from my TECNO CC6 using JamiiForums mobile app
-wenzio wanasimamia Sheria ya viapo ambayo inasema ni 20000/- kwa kopi,
-sio mbwembwe Ni sheria ndiyo imesema 20,000 kwa kopi
  • Ujinga Ni wako usiyejua sheria,
  • ww Ni Mr njaa kweli
 
Usipate shida. Nenda mahakama yoyote iliyokaribu nawe, watapiga muhuri kwa 5000 hata kama vyeti vipo 10 we nenda tu usiogope, jiamini
 
Hapo kacertify vyote hata kama vingine hutovitumia, Ila ukienda na buku kumi tena nenda Ile mida ya saa 8 yaan wakaribia kuondoka watakusumbua Ila lazima kucertify Ila kwa buku 5 utasumbuliwa sana Mkuu labda ulie sana(So kopa hata buku 5 nyingine hapo iwe 10 itakuwa poA)
 

Si wanapiga muhuri kopi tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…