Richard mtao
JF-Expert Member
- May 13, 2018
- 209
- 236
Habari wana JF!
Leo nimebahatika kuona taarifa kwa Umma iliyotolewa na mwenyekiti wa vyama vya watoa huduma za afya binafsi vikionesha msimamo wao dhidi ya kutokukubaliana na kitita kipya cha mafao ya matibabu kinachotolewa na serikali kupitia NHIF.
Sasa kinachonishangaza hapa ni kwanini vyama hivi vimeamua kuchukua uamzi huu licha ya kuwa kuna utaratibu mzuri ambao ungefatwa ili kupunguza malumbano/ Mvutano?
Lakini pia kwann watoa huduma binafsi wanatanguliza sana maslahi yao binafsi bila kujali uhai na afya za watanzania wenzetu?
Kwanini wasingefuata utaratibu mzuri kuonesha kutokuridhika na kitita hicho ili maboresho yaweze kufanywa kulingana na uhitaji wao?
Je wanadhani, msimamo huo wateja wao ambao ndio sisi tunawatizama vipi? Tunawachukuliaje?
Au wana JF nyie mna yapi ya kuzungumza katika hili?????