MwanaFalsafa1
JF-Expert Member
- Feb 26, 2008
- 5,565
- 836
Hivi vyama vya upinzani Tanzania huwa vina conduct polls kwa wapiga kura kuona wana simama wapi na wapiga kura? Kwa wenzetu kwenye nchi zilizo endelea polls hufanyika kila wakati haswa nyakati za uchaguzi ili wagombea na vyama na hakika jamii ijue wana simama wapi. Je vyama vya upinzani huku vina jipimaje? Nadhani polls lita kuwa ni wazo zuri maana chama kita simamia zoezi hilo kwa hiyo hakuna madai ya rough zita kazo ibuka. Maana nahisi vyama vingi havijui vina simama vipi na wapiga kura badala yake hufuata wimbi za kelele za mitaani kitu ambacho kina sababisha baada ya uchaguzi walalamike kwani wana dhani wali stahili kura nyingi zaidi. Ni wazo tu.