Vyama vya upinzani kwa nini havi conduct polls? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vyama vya upinzani kwa nini havi conduct polls?

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by MwanaFalsafa1, Aug 5, 2010.

 1. MwanaFalsafa1

  MwanaFalsafa1 JF-Expert Member

  #1
  Aug 5, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135
  Hivi vyama vya upinzani Tanzania huwa vina conduct polls kwa wapiga kura kuona wana simama wapi na wapiga kura? Kwa wenzetu kwenye nchi zilizo endelea polls hufanyika kila wakati haswa nyakati za uchaguzi ili wagombea na vyama na hakika jamii ijue wana simama wapi. Je vyama vya upinzani huku vina jipimaje? Nadhani polls lita kuwa ni wazo zuri maana chama kita simamia zoezi hilo kwa hiyo hakuna madai ya rough zita kazo ibuka. Maana nahisi vyama vingi havijui vina simama vipi na wapiga kura badala yake hufuata wimbi za kelele za mitaani kitu ambacho kina sababisha baada ya uchaguzi walalamike kwani wana dhani wali stahili kura nyingi zaidi. Ni wazo tu.
   
Loading...